Search results

  1. MATESLAA

    Rais Kikwete na mkewe safarini nchini Kenya

    Wakuu Ni jambo la kusikitisha na kuuzunisha kwa baba au mkuu wa nchi kusafiri na kuacha nchi yake katika dimbwi la matatizo. Kwa habari nilizo zipata mkuu wa nchi yupo Kenya na mkewe amelakiwa na Kibaki, ni jambo la kushangaza sana embu tujadili hili swala bila kuweka itikadi zetu hapa...
  2. MATESLAA

    Live from eatv c n b prezoo

    Wakuu muda si mrefu cnb prezoo ataojiwa na salama
  3. MATESLAA

    Mkutano wa CUF katika viwanja vya Jangwani

    Wakuu, Nimeshuka hapa kituo cha Jangwani naelekea moja kwa moja mpaka kiwanjani, napishana na defender ikiwa na askari watatu... Nitazidi kuwapa update PICHA kwa hisani ya Blog ya Mjengwa:
  4. MATESLAA

    Kwanini jk hajahudhuria mazishi ya wanajeshi??

    Wadau nimesikitika sana kwa kitendo cha baba rizi 1 kutohudhuria mazishishi ya wanajeshi walio kufa sudani... Hatimae amekwenda kampala,,hii ni jinsi gani inaonesha jeshi letu halithaminiwi Hapa imekaaje wadau
  5. MATESLAA

    Wataka nchi kuingizwa guinnness kufaulisha wasiojua kusoma

    Kambi rasmi ya upinzani bungeni,imesema tz inastahili kuingia katika kitabu cha kumbukumbu cha maajabu ya dunia cha the guinness book of records kwa kufaulisha wanafunzi 5200wasiojua kusoma wala kuandika hii ni kashfa kubwa kwa serekali ya ccm soure mwananchi jumanne agasti 14/ 2012 ngoja...
  6. MATESLAA

    Watanzania hatuaminiki hata kidogo???

    Ndugu wadau nimejiuza maswali mengi sana kwanini rais wa kenya aliamua kuweka mafuta kwenye ndege na kuziwasha usiku wa manane kuja tz kuwafata majerui na maiti,,najiuliza kwanini awafate usiku wa manane tena kwa ndege?? Kwanini asinge waacha hospitali kuu ya taifa muhimbili watibiwe then...
  7. MATESLAA

    Aiseeee baba yanga ajali tena

    Aisee baba yangu naangalia itv hapa kwa mwenyekiti wa kijiji hizi ajali zitatumaliza,nilikuwa na mpango wa kwenda dar es salaam tanzania ila nimegairi mpaka mwezi wa kumi 10 manake nasikia huu mwezi si mchezo ngoja nigoje habari ya pili huku nikingoja mbege
  8. MATESLAA

    Kituo cha kwa Manyanya Kinondoni

    Wadau Kituo cha kwa Manyanya kimekidhili wavuta unga na mateja nnje nnje ukipita hapo utawaona wanavyojidunga madawa yao na kuvuta bangi, cha kushangaza nyumba ya nne kutoka hapo ni nyumba ya diwani wao aitwae tarimba CCM na cha kusikitisha zaidi ni polisi kupita kila siku wakielekea mahakama ya...
  9. MATESLAA

    2-05-2012 kiama cha c c m

    wadau tarehe 2 mwezi wa 5 mahaka kuu inamvua ubunge mbunge wa tabata segerea so vijana kwa wazee wote tukae mkao wa kula kwa uchaguzi mwingine..cha msingi ni kuhakikisha tunaweka stashahada zetu vizuri....na kujitokeza kwa wingi kituoni kuwaadhibu magamba kwa mara ya pili mfululizo...
  10. MATESLAA

    Vicondom

    Wana jamii ivi vicondom wanavyo vaa dada ze2 mi vinaniweka roho juu si masihara ndugu zangu manake nikiwaona wamevaa lazima mtanange wangu ucmame
  11. MATESLAA

    Kiukweli man u leo tumebebwa

    mimi ni moja wa washabiki wa man u, leo nimeangalia mpira kwanzia dakika ya kwanza mpaka ya mwisho kiukeli kutoka moyoni kwangu leo tumebebwa mchezaji wa city hakustahili kupewa kadi njekundu, japokuwa walikuwa pungufu walituzidi kimpira leo ,halina ubishi hilo
  12. MATESLAA

    Afande sele haukomi tu !!!!

    miezi takribani 8 au 9 iliyopita nikiskiza kipindi katika moja ya radio radio maharufu sana hapa dar city,,ikimdhalilisha afade sasa kwamba anarasta chafu, haog,i anavuta bangi. kiukweli walimdhalilisha sana ,,ikafikia kipindi hawapigi nyimbo zake redioni sasa inakuaje afande sele umewapigia...
  13. MATESLAA

    Laptop

    habari zenu wana JF nimesoma kwenye gazeti yakwamba laptop humaliza nguvu za kiume hasa pale unapotumia internet [ ukiipakata kwenye mapaja ] swali langu ni hii:: hawa dada zetu wanavyo zipakata nao wako hatarini kuadhilika kama sisi wanaume NB kupoteza nguvu za kike ect
  14. MATESLAA

    Maji maji ukeni

    wana jf naomba kulizi mpenzi wangu amekuwa akisumbuliwa na tatizo la kutokwa na maji maji ukeni kiasi cha kufanya nishindwe kumwingilia tatizo ni nini hapa wakuuuu
  15. MATESLAA

    Dawa ya bikra

    wadau hapa mtaani kwetu kuna mganga wa kienyeji kutoka simbawanga anadai anarudisha bikra wa madada wote walio poteza et kweli wadau inawezekana??????/ au anataka kuwatapeli pesa zao
  16. MATESLAA

    Maumivu ya tumbo baada ya ngono

    Dr naomba unisaidie mimi ni mvulana....nimekuwa nikiumwa tumbo la kuhara na kukata kwa muda wa siku 1 au 2 pindi tu ninapotoka kufanya ngono na mpenzi wangu ,,nilibadili mpenzi lakina tatizo liko pale pale naomba msahada wenu
  17. MATESLAA

    Tofautisha

    Ndugu wasomi tumepewa kazi na prof tutofautishe kati ya tundu na tobo naomba mnisaidie jamani wasomi wenzangu
  18. MATESLAA

    Hajui kuhesabu siku zake

    Mpenzi wangu hajui kuhesabu siku zake za kwenda mwezini na ana umri wa miaka 24 hajui siku zake za hatari yani kushika ujauzito kila siku nampa somo lakini aelewi nifanjaje ndugu zangu?
  19. MATESLAA

    Ndege ya rais ipo kweli?

    et wana janvi ile ndega ya rais iliyo tucost 40bil bado ipo au imeuzwa na kama ipo mbona haitumiki...na kama haitumiki kwanini tusipige bei..na hiyo pesa tuwape wanafunzi walio kosa mkopo vioni
  20. MATESLAA

    Sijui nimsaidiaje huyu dada

    Ndugu zangu naomba usauri wenu ,,, nini ni mwanafunzi wa chuo.nilikuwa na nchumba wangu wa kidato cha 6,,alikuwa akinidharau sana,matusi sana,na alikuwa hakiniwekea masharti wakati wa kula tunda,,sasa amemaliza kidato cha 6 na amepata 0 aninilazimisha turudiane wakati ni na chombo cha chuo...
Back
Top Bottom