Laptop | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Laptop

Discussion in 'JF Doctor' started by MATESLAA, Jan 7, 2012.

 1. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  habari zenu wana JF

  nimesoma kwenye gazeti yakwamba laptop humaliza nguvu za kiume hasa pale unapotumia internet [ ukiipakata kwenye mapaja ]
  swali langu ni hii::

  hawa dada zetu wanavyo zipakata nao wako hatarini kuadhilika kama sisi wanaume NB kupoteza nguvu za kike ect
   
 2. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Ukitumia laptop kwenye mapaja joto lake linasababisha kupanda kwa kiwango cha joto kwenye makende; na joto likipanda kwenye makende linapunguza kiwango cha mbegu za kiume zinazotengenezwa.

  Kwahio sio swala la nguvu za kiume, bali ni utengenezaji wa mbegu za kiume.
   
Loading...