Live from eatv c n b prezoo

Anasema big braza afria hauna bili ya umeme hakuna bili ya maji yani ni bure kila kitu
 
Anasema tatuzake zina mahan anaya mtoto wake mama yake na baba yake
 
Anasema baby wa cash maney ndio anafanana na yeye na yeye hafanani nae
 
Usiharibu majina ya watu sio CNB prezoo ni CMB Prezoo.yaani Cash Money Brothers Prezoo.
Simpendi huyo mtu ndio maana leo sikujisumbua kuangalia kipindi, Haya tuambie next wiki kwenye huo mkasi atakuwepo nani?
Wakuu
muda si mrefu cnb prezoo ataojiwa na salama
 
Usiharibu majina ya watu sio CNB prezoo ni CMB Prezoo.yaani Cash Money Brothers Prezoo.
Simpendi huyo mtu ndio maana leo sikujisumbua kuangalia kipindi, Haya tuambie next wiki kwenye huo mkasi atakuwepo nani?

asante mkuu kwa kunirekebisha

wiki ijayo ni yule mtangazaji wa itv maulid kitenge
 
Nampenda Prezoooooo nilifurahia kumsikiliza hata Salama alipokuwa akimuhoji alikuwa anafurahia sana ilikuwa bonge la interview
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom