Aiseeee baba yanga ajali tena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aiseeee baba yanga ajali tena

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MATESLAA, Aug 10, 2012.

 1. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aisee baba yangu naangalia itv hapa kwa mwenyekiti wa kijiji hizi ajali zitatumaliza,nilikuwa na mpango wa kwenda dar es salaam tanzania ila nimegairi mpaka mwezi wa kumi 10 manake nasikia huu mwezi si mchezo ngoja nigoje habari ya pili huku nikingoja mbege
   
 2. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2012
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,452
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  We lazima utakuwa chizi.
   
 3. S.Liondo

  S.Liondo JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 1,573
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Sasa Mkuu Rombo, hii unayotuletea ni habari ya kisiasa au maisha yako binafsi? Hebu tufafanulie zaidi maana hueleweki.
   
 4. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  aiseee baba yangu naomba uniombe radhi,kabla sijakulaani
   
 5. dwight

  dwight JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 433
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wesukwa lau!Hiki ni nini ulichoandika?
   
 6. Voice of Wisdom

  Voice of Wisdom JF-Expert Member

  #6
  Aug 11, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  dwight ukundi ndeye?
   
Loading...