Watanzania hatuaminiki hata kidogo???

MATESLAA

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
1,246
74
Ndugu wadau

nimejiuza maswali mengi sana kwanini rais wa kenya aliamua kuweka mafuta kwenye ndege na kuziwasha usiku wa manane kuja tz kuwafata majerui na maiti,,najiuliza kwanini awafate usiku wa manane tena kwa ndege??
Kwanini asinge waacha hospitali kuu ya taifa muhimbili watibiwe then atume basi liwafate maiti???? Ua hatuaminika coz si mara ya kwanza hata wale wanakwaya wa kigali walifatwa ivyo ivyo na ndege za wakuu wao wa nchi
je sisi tukipata maafa nnje ya nchi 2tatendewa kama wenzetu
 
wewe ukifa nchi za nje imekula kwako na familia yako...hela hatuna..hela yetu tumeiweka kwa ajili ya safari za Rais
 
anajua kuwa MADAKTARI wetu ni washenzi pia alipata habari kuwa dr ULIMBOKA anarudi so akaogopa asije akawaua raia wake bure
 
Ni baada ya kupata taarifa kwamba uduma wayopata sio nzuri ndio akaamua wachukuliwe haraka sana na kupelekwa kwao kupata matibabu.
 
Sababu ziko nyingi tu, sio uaminifu pekee.
Kwani nani anajua walipo magaidi wa Al shabab na usalama wa raia wa Kenya?
 
Tanzania ni nchi ya maajabu mengi kama ya ulimboka na mengineyo yasiyokuawa na majibu so huwez jua why kenya they have done that.
 
Aiseee baba yangu nimeamini jei kai ana roho ngumu amepata wapi ujasili wa kutembelea mananasa ingali alisema amepoteza rafiki wa karibu sana huu ni unafki

ngoja niagize mbege nyingine kwa hasira
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom