Afande sele haukomi tu !!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Afande sele haukomi tu !!!!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by MATESLAA, Jan 7, 2012.

 1. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  miezi takribani 8 au 9 iliyopita nikiskiza kipindi katika moja ya radio radio maharufu sana hapa dar city,,ikimdhalilisha afade sasa kwamba anarasta chafu, haog,i anavuta bangi. kiukweli walimdhalilisha sana ,,ikafikia kipindi hawapigi nyimbo zake redioni sasa inakuaje afande sele umewapigia magoti kama mwanamke wa kikinga akimpa mumewe mji

  afande sele aka simba jike haungati haaaaaaaaaaaaaaaa


  na sabmit hoja
   
 2. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Juzi nimemkuta Temboni pale kilimani Bar yuko na ma- hard core anakula ugali kwa utumbo wametandaza machupa ya konyagi meza yote wachafu na mirasta yao
   
 3. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #3
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,902
  Likes Received: 5,364
  Trophy Points: 280
  hii mada tumeidiscuss sana humu labda we mgeni
   
 4. W

  Wambuzi JF-Expert Member

  #4
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  yule jamaa akili hana..
   
 5. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #5
  Jan 8, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Akili zake zinamtosha yeye mwenyewe..
   
 6. K

  Kinega ment Member

  #6
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mgambo sele njaa zinamsumbua
   
 7. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #7
  Jan 8, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  inawezekana sikuwai kuisoma swla la ugeni hata ww ni mgeni
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Jan 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280
  Adui muombee njaa atanyoosha mikono juu hata kama alikua shujaa-Mgambo sele
   
 9. a

  assa leonard Member

  #9
  Jan 8, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jaman 2yaache maisha ya wa2
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Jan 8, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,476
  Likes Received: 19,863
  Trophy Points: 280
  njaa kali ..lakini si ni kweli?
   
Loading...