Sijui nimsaidiaje huyu dada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sijui nimsaidiaje huyu dada

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MATESLAA, Oct 29, 2011.

 1. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu naomba usauri wenu ,,, nini ni mwanafunzi wa chuo.nilikuwa na nchumba wangu wa kidato cha 6,,alikuwa akinidharau sana,matusi sana,na alikuwa hakiniwekea masharti wakati wa kula tunda,,sasa amemaliza kidato cha 6 na amepata 0 aninilazimisha turudiane wakati ni na chombo cha chuo nafanyeje wana jm
   
 2. k

  kisukari JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,478
  Likes Received: 708
  Trophy Points: 280
  ujana kazi
   
 3. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,782
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  wapige chini wote,waambie umepata wito wa kwenda kusomea upadre!
   
 4. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,640
  Likes Received: 542
  Trophy Points: 280
  Achana naye,sasa hivi ameona hana mwelekeo ndo maana anakupenda,atakuchuna tu bure,mweke kapuni.
   
 5. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #5
  Oct 29, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,315
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Sijasomea kushauri machizi...ngoja wataalamu waje.
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,045
  Likes Received: 18,499
  Trophy Points: 280
  wewe umeshaamua
  halafu unauliza tukushauri nini??????
   
 7. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #7
  Oct 29, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,188
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Pole mdogo wangu, kwa 'yanayokusibu'

  Ushauri ni kuwa we fuata moyo wako, na siyo wake, kwani ukiamua kuridhisha kila moyo unaelekea kwako, unaweza kuchizika...

  Ushauri wa pili ni kuwa hicho ni kiwimbi kidogo sana kati ya 'mawimbi ya kawaida' ya mapenzi... Usijifanye bingwa wa mapenzi kwa kuyapa promo sana kichwani mwako, yatakuangamiza... Hakikisha kuwa huyapi zaidi ya 5% ya muda wako, na mwingine fanya mambo yako ya muhimu, hasa kusoma.

  Ushauri wa tatu ni kuwa huyo ulikuwa nae akakuzingua, sasa una mwingine nae anaweza kukuzengue mbeleni n.k... Ili uheshimike kwa watu, na hasa kwa mwanamke wako, ni vyema ukawa na maisha mazuri. pamoja na umuhimu wa ki-sociology wa wewe kuwa na mahusiano ya kimapenzi, lakini jua tu sasa level ya mapenzi uliyo nayo sasa ni sawa na mcheza football anayechezea Toto Africa... kwa nini usikomae kutafuta maisha mazuri, ili baadae ukawa na level ya akina Van Persie kwa mfano? (naamini wewe sio mshabiki wa Chelsea...lol)
   
 8. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mkuu, unatoa taarifa au unaomba ushauri?
   
 9. Bei Mbaya

  Bei Mbaya JF-Expert Member

  #9
  Oct 29, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,260
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 160
  angekuwa hajapata div 0, akakuomba mrudiane nayo usingemfikiria

  kufeli kwake sio sababu ya kutosamehewa au kutopendwa
   
 10. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 11,973
  Likes Received: 1,748
  Trophy Points: 280
  Kama bado unampenda, jaribu kumsamehe na urudiane nae. Binadamu tunaghafilika.
   
 11. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #11
  Oct 29, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,882
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  mrudie halafu akikutenda rudi tena humu jamvini tuje tukushauri upya, si unadai akili yako ni ya kuazima!
   
 12. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #12
  Oct 29, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,814
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  kamaliza mwaka gani?too late
   
 13. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,758
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  Vijana na maji ya moto!!
   
 14. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Chombo cha chuo? kweli huyo uliye naye chombo..!
   
 15. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #15
  Oct 30, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 580
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mkuu si umesema tayari una chombo cha chuo? Sasa unaomba ushauri ili uwe nao wawili au ni vipi mi sijaelewa, huyo wa chuo humpendi uko nae kwa sababu ulitoswa na wa div 0 au?

  Tulia na maamuzi yako kiongozi, huyo wa chuo ni dhahiri unaridhika nae (maana hujatuambia makosa yake) sasa kwa nini unajaza server ya ubongo wako kwa kurudisha makumbukumbu ya mtu aliekuwa anakutesa moyo wako?

  Endelea na maisha yako mapya bwana, japo inaonesha bado una mapenzi na huyo mtalaka wako
   
 16. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #16
  Oct 30, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,007
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  njuka at work. ww unatembea na wanafunzi afu unadai alikuwa anakupa masharti kwani ulistahili kutembea nao?
  kweli we bado njuka soma zingatia masomo naona hili jukwaa sasa hata watoto wanatoa mada zao
  discuss haya mambo na roomate wako au wasela wenzio sio kumgwaga upupu hapa JF
   
 17. Robati

  Robati JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 266
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  mbona jibu unalo mwenyewe kijana, kwanini unataka kusumbua akili zetu?
   
 18. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #18
  Oct 30, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,254
  Likes Received: 4,242
  Trophy Points: 280
  anakulazimishaje? Kakushikia bunduki?
  Au chombo cha chuo hukipendi unatafuta sababu?
   
 19. H

  Halaimer New Member

  #19
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sema na moyo wako. Kama unampenda bado usimbani haki yake kama hayuko moyoni mpotezee
   
 20. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #20
  Oct 30, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,081
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  .....uwe unachanganya za zako
   
Loading...