Ndege ya rais ipo kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndege ya rais ipo kweli?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MATESLAA, Nov 1, 2011.

 1. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  et wana janvi ile ndega ya rais iliyo tucost 40bil bado ipo au imeuzwa na kama ipo mbona haitumiki...na kama haitumiki kwanini tusipige bei..na hiyo pesa tuwape wanafunzi walio kosa mkopo vioni
   
 2. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  wapigie simu wakina Riz1
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  mwambie ritz one aongee na mshua. izi ripoti asipuuze.
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Nov 2, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ndege ipo na ndiyo anayoitumia kwenye safari zake.
   
 5. MartinDavid

  MartinDavid JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 876
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Duh kaka ipo sana tena sana.. Jana nimeiona pale JNIA....
   
 6. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Wenzio wanapanga kununua ya pili wewe unataka wauze hii?
   
 7. COMPLICATOR2011

  COMPLICATOR2011 JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  hivi ile ndege huwa haipati ajari?
   
 8. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana wa Rombo walikula nyasi ili ndege ya Rais inunuliwe kwa hiyo ipo.
   
 9. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Mbona kipindi cha nyuma nilikuwa nasikia Mkulu anaigopa kuitumia? sijui kwasababu watu walikuwa wanachonga sana au ni sababu za kiusalama both traditionally and scientifically. Underscore traditionally.
   
 10. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Ndege ipo aliitumia juzijuzi kwenda china kwa siri usiku
   
 11. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #11
  Nov 2, 2011
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Utaiona saa ngapi kama ipo na mshikaji anashinda Ulaya anatanulia huko?
   
 12. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #12
  Nov 2, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Nakubaliana na wewe ndege iuzwe lakini pesa zitakazopatikana tuwawezeshe wanafunzi kwenda shule kwa uhakika tofauti na hivi sasa. Njia rahisi ni kutengeneza coupon na kuwagawia wanafunzi wazitumie wanapopanda daladala kwenda shule tu.Atakayeforge sheria ichukue mkondo wake.
  Hivi sasa kama taifa tunapanda mbegu ya chuki kwa watoto wanafunzi, wanajifunza kuwa na roho mbaya kama wanayofanyiwa na madereva wa daladala hii ni hatari aisee.
   
 13. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kweli wanataka kununua ya pili????? sasa hapa tutakula udongo
   
 14. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #14
  Nov 2, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  sasa ritz nitamwana wapi?? nimulize
   
 15. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  ATC waziombe hizo ndege, ziwe kwa mnafaa ya umma.
   
 16. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #16
  Nov 2, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Wakikusikia wenyewe..
   
 17. F

  FUSO JF-Expert Member

  #17
  Nov 2, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,866
  Likes Received: 2,340
  Trophy Points: 280
  hawaaminiki hawa wanaweza kuwa wameshainywa...... :lol:
   
 18. F

  FUSO JF-Expert Member

  #18
  Nov 2, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,866
  Likes Received: 2,340
  Trophy Points: 280
  tatizo hata hao ATC mimi sina imani nao kabisa, yaani watu wanafikiria madili tu - tutasonga kweli nchi hii?
   
 19. CR wa PROB

  CR wa PROB Senior Member

  #19
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuuuzwa kwa lile dege la J.K, ni swa na kumwabia KINGUNGE N. ahame CCM huku anatambua utamu wake
   
 20. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #20
  Nov 2, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Hata mimi najiuliza swali hilo kila siku.
   
Loading...