Kwanini jk hajahudhuria mazishi ya wanajeshi??

MATESLAA

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
1,246
74
Wadau nimesikitika sana kwa kitendo cha baba rizi 1 kutohudhuria mazishishi ya wanajeshi walio kufa sudani... Hatimae amekwenda kampala,,hii ni jinsi gani inaonesha jeshi letu halithaminiwi

Hapa imekaaje wadau
 
Wadau nimesikitika sana
kwa kitendo cha baba rizi 1 kutohudhuria mazishishi ya wanajeshi walio
kufa sudani... Hatimae amekwenda kampala,,hii ni jinsi gani inaonesha
jeshi letu halidhaminiwi
hapa inakaaje wadau

Kila m2 anaangalia penye maslah bana ka trip cha Ug kapo juu ktk upande wa posho, natania 2 bana cjui kama ni kweli.
 
Alitamani wakawaagie huko Sudan angekuwa wa kwanza kufika huko msibani!!!yuko Uganda huko!
 
Jeshi nalo limelala wanaota vitambi tu vya bia za dezo toka kwa Alfani
 
ajigawe mara ngapi? km makaburi yao ataenda kuyaangalia
Ikulu kuna Itifaki, na Mkuu wa Majeshi Mwamunyange alimuwakilisha. sasa MKUU ROMBO utahudhuria mazishi Nchi nzima mpaka hata ya kule alikowakilisha Mwandosya (kwa D Mwangosi) mtajauliza mbona hakwenda
 
sasa mkuu na yale yanayotokea nnje ya nchi kwanini asiwatume wawakilishi kwa mfano waziri husika,,au kwakuwa kulikuwa hakuna ndege
 
ajigawe mara ngapi? km makaburi yao ataenda kuyaangalia
Ikulu kuna Itifaki, na Mkuu wa Majeshi Mwamunyange alimuwakilisha. sasa MKUU ROMBO utahudhuria mazishi Nchi nzima mpaka hata ya kule alikowakilisha Mwandosya (kwa D Mwangosi) mtajauliza mbona hakwenda

aiseee mkuu mbona huwa anaudhuria mazishi nnje ya nch?? Na asitume wausika husika mfano mawaziri usika??
 
sasa ug si nisawa na tz au anapenda kukaaa hewani kama popo!!!! Sijui ingekuaje kama angekuwa anasafiri na basi

Fikiria kulivyochimbika pale Sekenke baada ya Wachina kutengeneza barabara isiyo na kiwango!!! Safari ya Kampala kwa kutumia Kampala Coach isingekuwa na mvuto.
 
Baharia anataka kuweka rekodi ya kuzurura nje, yuko Kampala na kama sikosei ni safari yake ya 337, still more to count!!!
 
Siku zote Kikwete anafanya maamuzi ya kutalii na kusanii.

Ni bigwa wa kuhudhuria mazishi ndani na inje ya inchi, lakini pale tu yanapokuwa na maslahi either kwake binafsi, familia yake au chama chake, Chama cha Mafisadi na wakati mwingine shughuli za kidini.

Kuwa na kiongozi mtalii, msanii, mbinafsi na pengine mwenye harufu ya udini ni hatari sana kwa taifa na watanzania wote kwa ujumla hasa wapenda amani.
 
Back
Top Bottom