2-05-2012 kiama cha c c m | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

2-05-2012 kiama cha c c m

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by MATESLAA, Apr 29, 2012.

 1. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  wadau tarehe 2 mwezi wa 5 mahaka kuu inamvua ubunge mbunge wa tabata segerea so vijana kwa wazee wote tukae mkao wa kula kwa uchaguzi mwingine..cha msingi ni kuhakikisha tunaweka stashahada zetu vizuri....na kujitokeza kwa wingi kituoni kuwaadhibu magamba kwa mara ya pili mfululizo  nawasilisha hoja mezani
   
 2. h

  hoyce JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,119
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Acha hizo, mnatafuta sababu ya kuja kudai hukumu hii pia ilivuja, ili ku-justfy hukumu ya Lema iliyovuja kule Arusha. Kwa nini usisubiri hiyo tarehe, kuna haraka gani?
   
 3. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  wala hatuna haraka mwaya coz hilo lilikuwa jimbo letu kitambo sema mlicheza rafu
   
 4. D

  DOMA JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Kesho sumbawanga mjini kuna jimbo wazi hivyo cdm karibuni sanaaaa
   
 5. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Yaani kama mahakama zitatenda haki kwa kutengua ubunge wa majimbo ya Sumbawanga mjini na Segerea nitafurahi sana na kuamini duniani haki ipo.

  Hawa waliporwa wazi wazi ushindi wao na magamba ambayo yalikuwa yamechanganyikiwa kwa kweli kipindi kile cha uchaguzi.
   
 6. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  huko hatupataki kuna wachawi wengi tunawaachia magamba
   
 7. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Nazi aimenywi ....inakunwa
   
 8. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #8
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  mi nishachoka na hizi chaguzi za kila siku:nono::frusty:
   
 9. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #9
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Tuvute subira.
   
Loading...