Hajui kuhesabu siku zake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hajui kuhesabu siku zake

Discussion in 'JF Doctor' started by MATESLAA, Nov 4, 2011.

 1. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mpenzi wangu hajui kuhesabu siku zake za kwenda mwezini na ana umri wa miaka 24 hajui siku zake za hatari yani kushika ujauzito kila siku nampa somo lakini aelewi nifanjaje ndugu zangu
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Zigo lako hilo, muhesabie hadi atapofika 45-50 yrs
   
 3. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Muandikie kwenye karatasi alafu awe anakariri kila siku!!
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  ndo maana mko wawili, sasa kwa vile haelewi libebeb hilo jukumu mpaka atakapoweza la sivyo jiandae kujaza dunia mpaka tufike bil 10 toka 7 tulitopo
   
 5. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #5
  Nov 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  sijui kwa nini hii kitu kwao kuijua ni ngumu kweli. yaani mpaka mtu unaboreka kila siku unaimba wimbo ule ule yaani inaboa kweli mtu hajijui mwenyewe, mweeeeeeeee!
   
 6. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #6
  Nov 5, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,412
  Likes Received: 81,450
  Trophy Points: 280
  Chukua kazi ya kuhesabu hizo siku wewe, inaelekea utaweza kuifanya vizuri zaidi kazi hiyo kuliko yeye ili kuepuka hizo mimba za kila siku, vinginevyo just wrap it up!   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #7
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Duh,kumbe wako wengi sana eh
   
 8. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #8
  Nov 5, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Chagueni family planing inayo mfaa. Sio kuhesabu siku au coitus interomptus sasa...
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Nov 5, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Umri na experience vinachangia. Unapofikuwa young and faithful you dont care the dates, infidelity ikianza unakuwa Prof wa hayo mambo au ukiolewa unaanza kuwa responsible na dates.
   
 10. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #10
  Nov 5, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,059
  Likes Received: 7,260
  Trophy Points: 280
  Kuhesabu siku ya nini mkuu?
  Kuzaa kumewekwa na mungu ndio maana kupo,
  Wacha atuletee wana, kina uncle tupo wa kuwalea.
   
 11. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #11
  Nov 5, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  hizo mimba za kila siku huwa anazaa ama ndo mnaenda kuflash?????????????????
   
 12. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #12
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Kuna baadhi ya wanawake huwa ni ngumu sana kuhesabu siku zao kutokana na kubadilika kwa kila mara kwa tarehe zao za kuingia mwezini.
  Inawezekana mwanamke wako ana tatizo hilo na inafaa ukae nae chini kwa utulivu na mjue namna ya kufanya maana inaonekana hapo unachohofia ni mimba.
   
 13. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #13
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Wawapi huyo Mkuu! kama vipi vaa kinga!
   
 14. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #14
  Nov 5, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Napata shida kuelewa mapenzi yako kwake.......................vipi upendo umetoweka au ni woga wa kummimbisha?
   
 15. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #15
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Akianza kuzikariri ndiyo zinapotea kabisa kwa mawazo!
   
 16. l

  lesedi Member

  #16
  Nov 5, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Tumia kinga ndugu yangu wakati mwingine hii kitu si ya kuamini sana hubadilika mwezi hadi mwezi, kwa hiyo usimlalamikie mwenzio. Mkae chini muongee njia gani mbadala mtumie, kwani hata ulivyoiandika hapa unalaumu kwa swala ambalo wakati mwingine liko nje ya uwezo wake. Ukimpenda utamjali, kumthamini na kumheshimu.!
   
 17. gozo

  gozo JF-Expert Member

  #17
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  mshatoa mimba ngapi?
   
 18. Bacardi

  Bacardi Member

  #18
  Nov 5, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Experience inamata sana kwenye ilo.alikuwa mtoto and very faithful so hakuwa na haja ya kuzijua coz hakuwa na hofu yoyote. Mpe muda ataelewa tu,kwa sasa beba wewe ilo jukumu coz u seem to be good in it.usimfanye ajione mjinga utamstress bure.
   
 19. Tausi.

  Tausi. Senior Member

  #19
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama yeye hawezi, msaidie wewe kujua hilo. Ndio sababu mko pamoja.
   
 20. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #20
  Nov 5, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Mnunulie calculator.
   
Loading...