Search results

  1. C

    Kero ya mawasiliano NHIF

    Ni muda sasa nimekuwa nikipiga simu za NHIF ili kupata huduma ya haraka, nimepiga namba za mkoa husika moja (landline) inaita, mobile zote hazipatikani, nikaona isiwe tabu, nikapiga za makao makuu (HQ) Dodoma, zote ni landline, moja nikipiga naambiwa namba yao haijalipiwa, nyingine haipokelewi...
  2. C

    Serikali boresheni vituo vya afya kutokana na yanayoendelea kwenye hospitali binafsi na wateja wa NHIF

    Kutokana na umuhimu wa Afya bora katika mustakabali wa maendeleo ya taifa lolote duniani, serikali inahitaji kuhakikisha inaboresha huduma katika hospitali zake. Hii ifanyike ili kuweka ushindani na sekta za afya binafsi ambazo serikali imekuwa ikizilipa pesa nyingi kwa huduma wanazotoa (mara...
  3. C

    Mwaka 2007 sukari iliyokuwa inazalishwa ndani ya nchi ilikuwa inauzwa kati ya Tsh 800-900 kwa kilo

    Mwaka 2007 sukari iliyokuwa inazalishwa ndani ya nchi ilikuwa inauzwa kati ya Tsh 800-900 kwa kilo, ambapo imported sukari kama Ilovo ilikuwa inauzwa 1000/- kwa kilo 1 ya pakti. Nakubali kuwa kuna sababu nyingi zinazopelekea price fluctuations hasa sababu za kiuchumi, hizi tuziache maana athari...
  4. C

    Kero za meseji taka (spams) kampuni za simu muwe na utaratibu kupata ridhaa kutoka kwa mtumiwaji

    Kumekuwa na tabia ya kampuni nyingi za simu kuingia ubia na baadhi kampuni ambazo wamekuwa wanatuma meseji taka mbalimbali mara kubeti, bahati nasibu, n.k. kwenda kwenye namba za wateje bila ridhaa ya wateja wenyewe. Nasema ni kero kwakuwa, unaweza ukakuta kwenye simu yako msg kama 10...
  5. C

    Natafuta nyimbo za kwaya ya huru waimbaji wa sifa

    Habarini wana jamvi Nakumbuka miaka ya 90, kupitia Redio Habari Maalum (RHM) Kuna kwaya moja iliyoitwa "Huru Waimbaji was Sofa" waliimba nyimbo za kusifu zikiwamo "Jina LA Yesu", " ROHO MTAKATIFU", nanyinginezo, hizi nyimbo nilifanikiwa kuzipata Bahati mbaya laptop yangu iliharibika, ila...
  6. C

    Natafuta nyimbo za kwaya ya Huru Waimbaji wa Sifa

    Habarini wana jamvi Nakumbuka miaka ya 90, kupitia Redio Habari Maalum (RHM) Kuna kwaya moja iliyoitwa "Huru Waimbaji was Sofa" waliimba nyimbo za kusifu zikiwamo "Jina LA Yesu", " ROHO MTAKATIFU", nanyinginezo, hizi nyimbo nilifanikiwa kuzipata Bahati mbaya laptop yangu iliharibika, ila...
  7. C

    Natafuta mifuko ya sandarusi kwa bei ya jumla

    Kama nilivyoeleza hapo juu, Luna hii mifuko maarufu kama sulphates, inatumika kuhifadhia mazao, ninatafuta ama kiwanda au muuzaji was jumla, nahitaji zaidi ya PCs 1000 Kwa anayefahamu pls naomba msaada was location ama contacts za wauzaji au watengenezaji
  8. C

    Natafuta wauzaji wa tractors

    Habarini wadau, kama nilivyoeleza hapo juu, natafuta wauzaji wa tractors, mpya au used in good condition, iwe reputable brand, kama Massey Ferguson, Kubota, John Deer e.t.c
  9. C

    Mtu kutembea siku tatu kutoka Mbeya mpaka Dar, kwanini Clouds Media mlitudanganya?

    Leo nimekumbuka yule jamaa aliyetembea kwa miguu kutoka Mbeya mpaka Dar. Clouds media thru clouds fm walihost Ile issue live, baada ya jamaa kuwasili Dar, Leo nimetafakari safari ya Mby-Dar kwa miguu tena ndani ya siku 3, Na kugundua wajinga Ni wengi Sana maana Kuna watu walioenda kumlaki yule...
  10. C

    Makampuni ya kimataifa yafikiria kuondoa uwekezaji wake Tanzania kutokana na kodi kuwa juu

    Makampuni ya kimataifa yasiyopungua sita yamesema yanafikiria kupunguza kiwango cha uwekezaji nchini Tanzania, baada ya Rais John Magufuli kutangaza kufanya mabadiliko ya kiuchumi, ikiwemo kuongeza kodi kwa makampuni kutoka nje. Kwa mujibu wa mahojiano yaliyofanywa na shirika la habari la...
  11. C

    M/kiti mtaa wa G/mboto Vs RC | Principles of Natural Justice

    Habari zenu humu. Nimejaribu kufupisha kichwa cha habari hapo juu. Lakini lengo kuu ni kuangalia maamuzi ya RC kumuweka mbaroni m/kiti wa serikali ya mtaa wa Gongo la mboto hasa katika sura ya kisheria. Jana tarehe 23/11/2016 nilisikiliza mubashara mkutano/kikao cha wakaazi wa mtaa wa...
  12. C

    TLS KWANINI MNATUCHAJI KWA DOLA

    Tanganyika Law Society (TLS) Nyie wenyewe mnalalamika kuwa Law firms zinawachaji wateja wake kwa USD na mna discourage hiyo, mbona kwenye fees zenu mnaendelea ku encourage matumizi ya USD currency, tena nyie mkiwa kama public institution, je, hamuoni kama huku ni kuidharau shilingi na...
  13. C

    Naiomba serikali itafute njia sahihi katika kutatua matatizo mbalimbali

    Salaam! Naandika huu uzi kwa kuzingatia njia ambazo serikali imekuwa ikizitumia kutatua matatizo, kuwa njia hizi hugeuka na kuwa kero kubwa na za kudumu kwa wananchi. Mfano: 1. Kupandisha bei ya mafuta taa, kwa ajili ya kuzuia uchakachuaji wa petrol & Diesel 2. Kuzui bodaboda kuingia mjini kwa...
  14. C

    Ambulance yaupisha msafara wa mke wa rais Kivukoni

    Habari zenu. Hili tukio limetokea leo Ijumaa, katika kivuko cha MV Magogoni. Ambulance ikiwa imebeba mgonjwa, ikivuka kutokea Kigamboni kuelekea hospitali kubwa (nadhani muhimbili), kama kawaida Ambulance zikiwa zinavuka kutokea Kigamboni huwa zinakuwa za kwanza kuingia kivukoni, hivyo hii pia...
  15. C

    BMM pub/night club inaleta kero, serikali mmelipwa shingapi?

    BMM PUB Ni bar iliyopo mkabara Na TRA Mwenge, hii bar imekuwa kero Sana kwangu (Na watu wengi wanaoizunguka) kero ya hii bar kwangu Mimi Ni moja Tu, inapiga Ni kelele zigakanazo Na miziki wanazipiga from Monday to Monday, sauti Ni kubwa Sana, (obviously wanatumia outdoor sound systems) wanaanza...
  16. C

    Nahitaji ist 2nd hand kwa 9M

    Kwa mweye hii gari anipm, iwe 2nd hand, au imekuwa registered mwaka huu, iwe katika hali nzuri, kwa maana original colour (ila isiwe nyeupe) no scratches wala dents, (mibonyeo) mileage isizid 90000km, Kama unayo au mtu anayo Ni pm, tangazo hili valid mpaka j4
  17. C

    Ninakuomba Mh. Rais ukimaliza kuihamisha Serikali Dodoma, kamilisha azimio la Serikali moja

    Huu ni waraka wangu mfupi kwa Mhe. Rais, kwanza kabisa nakupongeza kwa juhudi zako mbalimbali, ikiwamo suala la muda mrefu la kuhamia katika makao makuu ya nchi Dodoma, tunakuombea ulikamilishe mapema. Lakini mhe. Rais, kumekuwa na jambo ambalo kwa muda mrefu linaniumiza kichwa, naamini hili...
  18. C

    USHAURI KWA ONLINE SHOPPING SITES

    Nawashauri hawa wanaotoa huduma ya kutangaza bidhaa kwenye mitandao (online shopping sites) Mfano JUMIA (formerly Kaymu) hata ZoomTz. Kumekuwa Na wimbi la watu wanaotumia hizo fursa vibaya, ntaeleza hapa 1. Kupost bidhaa bila kuweka bei, katika kitu kinachokera Ni pale mtu unapoingia kwenye...
  19. C

    Pale unachajiwa na makosa 381 halafu mwisho wa kesi unaachiwa

    Habari wadau, Kufuatia kesi inayoendelea ya milioni saba kwa dakika, Tumezoea kuona serikali yetu ikishindwa kesi za namna kila Mara, Na hata Kama ikitokea mtuhumiwa akapewa adhabu basi Ni kifungo cha mwaka mmoja au miwili ambayo kimsingi huwa mtuhumiwa anatumikia miezi 6 gerezani na...
  20. C

    Kickass Torrent imefungiwa na Marekani

    Habari za muda wadau. Kwa wale wenzangu wa kushisha (download) vitu mbalombali Kama movies, applications mbalimbali, novels, programs, n.k. Hasa kupitia site kubwa ya file sharing, Kickass.com ambayo unadownload kitu chochote bure, juzi tar 20 site hii ilifungiwa Na federal ya US ikidai kuwa...
Back
Top Bottom