Natafuta nyimbo za kwaya ya Huru Waimbaji wa Sifa

Chagga King

JF-Expert Member
Jul 6, 2011
1,823
1,043
Habarini wana jamvi

Nakumbuka miaka ya 90, kupitia Redio Habari Maalum (RHM) Kuna kwaya moja iliyoitwa "Huru Waimbaji was Sofa" waliimba nyimbo za kusifu zikiwamo "Jina LA Yesu", " ROHO MTAKATIFU", nanyinginezo, hizi nyimbo nilifanikiwa kuzipata Bahati mbaya laptop yangu iliharibika, ila ninazihitaji sana, so kwa yeyote mwenye kuzijua/anazo tafadhali naomba unisaidie niweze kuzipata.

Asanteni sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom