Natafuta wauzaji wa tractors

Natafuta wauzaji wa tractors

Chagga King

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2011
Posts
1,932
Reaction score
1,179
Habarini wadau, kama nilivyoeleza hapo juu, natafuta wauzaji wa tractors, mpya au used in good condition, iwe reputable brand, kama Massey Ferguson, Kubota, John Deer e.t.c
 
Ni pm nkunganishe na jamaa mmoja anauza tractor Used toka uk na denmark bei zake nafuu

Ova
 
Habarini wadau, kama nilivyoeleza hapo juu, natafuta wauzaji wa tractors, mpya au used in good condition, iwe reputable brand, kama Massey Ferguson, Kubota, John Deer e.t.c
Nenda Facebook mtafute mtu mmoja kwa jina LA Chris Lukosi utapata Mimi mwenyewe nazichanga zikitosha namtafuta Chris.
 
Hawa jam ukiwa na robo tatu ya gharama unalipa unaondoka nalo. Wapo mwanza
 
Ni pm nkunganishe na jamaa mmoja anauza tractor Used toka uk na denmark bei zake nafuu

Ova
Kama anafanya biashara kama unazofanya Maongezi nae alidhie utupie namba yake imeoendeza. Haya mambo ya pm watu wanaingizana kingi
 
Kama anafanya biashara kama unazofanya Maongezi nae alidhie utupie namba yake imeoendeza. Haya mambo ya pm watu wanaingizana kingi
Yuko manzese pale Ana yard yake
Hakuna kuingizana kingi we unakwenda mwenyewe pale unangalia unafanya maamuzi yko

Ova
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom