Chagga King
JF-Expert Member
- Jul 6, 2011
- 1,850
- 1,065
Leo nimekumbuka yule jamaa aliyetembea kwa miguu kutoka Mbeya mpaka Dar.
Clouds media thru clouds fm walihost Ile issue live, baada ya jamaa kuwasili Dar, Leo nimetafakari safari ya Mby-Dar kwa miguu tena ndani ya siku 3, Na kugundua wajinga Ni wengi Sana maana Kuna watu walioenda kumlaki yule jamaa.
Safari ya Mbeya naijua vizuri kwani nilisoma huko, njia ya kule Ina changamoto nyingi sana, milima, mabonde Na misitu mikubwa ikieemo mikumi.
ukiachilia Hilo, Kuna suala la distance ambayo naamini Ni Kati ya km 700-800 hv frm Dar-mby.
sasa nimejaribu kupiga hesabu za uwezo wa binadam kutembea nonstop for three days, nikapata average ya 3km/h x 72hrs = 216km
Then nikarudi kuvuta picha ya udzungwa ranges, mikumi Na vilima vingine, dah nimechoka.
labda Kama Ile story niliisikia nikiwa intoxicated basi anayeifahamu aje kunielewesha ila vinginevyo, Clouds muache utoto.