Natafuta mifuko ya sandarusi kwa bei ya jumla

Chagga King

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2011
Posts
1,931
Reaction score
1,178
Kama nilivyoeleza hapo juu, Luna hii mifuko maarufu kama sulphates, inatumika kuhifadhia mazao, ninatafuta ama kiwanda au muuzaji was jumla, nahitaji zaidi ya PCs 1000

Kwa anayefahamu pls naomba msaada was location ama contacts za wauzaji au watengenezaji
 
Mzee baba umepewa tenda na watu wasiojulikana nn?
 
Hii si ndo zinatupeleka mtoni? Jitambulishe kwanza
Unataka used au vipya
IMG_20180411_153447_1524173874705.jpg
IMG_20180411_153536.jpg
IMG_20180411_153503.jpg
 
Back
Top Bottom