Search results

  1. kurlzawa

    Ubora wa Singida Big Stars utaiaibisha Simba SC kwa Mkapa

    Habari za mda huu wanamichezo Kwa ninachokiona leo, Simba anaenda kupata aibu kwa Mkaba na huenda kocha akarudi tena Brazil Naisubiri Battle ya Kagoma vs Kanoute. Ni kichekesho kagoma anaujua sana Bruno Gomes ni sawa na Chama watatu. Sijasemea beki kitasa Abdulimajid Mangalo Kazadi najua...
  2. kurlzawa

    Wasafi Presenter Search Majaji mna matatizo

    Nimejikuta naangalia kwa bahati mbaya hiki kipindi, for sure judges ni wehu. Wanalazimisha presenters wanaokuja jaribu vipaji vya utangazaji wa magazeti lazima wapayuke kama Zembwela au Maulidi Kitegne, huo ni ujinga mkumba sababu kila mtu ana style yake. Lily Omy ni ujinga umemjaa kichwani...
  3. kurlzawa

    Tatizo la sikio la kushoto kuuma naombeni msaada

    Habari kama kichwa cha habari Naomba kuuliza dawa ya sikio kuuma Maana sikio la upande wa kushoto lina sumbua sana Linapoa then linaaanza tena kuuna
  4. kurlzawa

    Rapcha anajua lakini maana ya freestyle?

    Limetokea wimbi la ivi visanii vya Sasa Kuandika nyimbo mnazi record mnasiita freestyle Au ndiyo hamjui maana ya mitindo huru? Bongo freestyle walikuwa KING ZILAH na NIKKI MBISHI wengine acheni izo mnajivua nguo
  5. kurlzawa

    Man United mtajaziwa mizigo ya kiholazi mno

    Habari za mda huu wapendwa Manyumbu wa man United napenda kuwwambia Kuwa kocha mlienae mmepigwa waholanzi waga wajinga mno Watawajazia wachezaji uchafu wa kiholanzi VANGAL ALIWAJAZA. TEN HAG ANAWAJAZA PIA. soon tu man United itakuwa kama PSV au AJAX au nerthaland national team. Mkipata...
  6. kurlzawa

    Best Friend best diss track ya kuanzia mwaka

    Wana hip hop hamjambo? Aisee hii diss ya dkk 8 ya DIZASTA VINA ni balaa, mtoto RAPCHA amechanwa mno umo ndani. Siku zingine apunguze kiherehere, maradona DIZASTA ni moto sana kwa kizazi iki kwa utunzi. Nakushauri mpenda hip hop kama hujaiskiliza itafute usikie kilichoongelewa humu. Rapcha...
  7. kurlzawa

    Simba aibu hii hadi ada ya kumsaini Kelvin Nashon imewashinda

    Habari za muda buu wana michezo, Kwakweli simba haina pesa hata kulinganisha na Singida big Stars, maana kiungo aliyekuwa anatakiwa na Simba kwa udi na uvumba Kelvin Nashon matari ameamua kutimukia Singida Big Stars baada ya simbakukosa hela ya kumpa. Hakuna ulazima wa kwenda Duba, huna...
  8. kurlzawa

    Dj Ally ni nani?

    Najua Jf umu kuna watu wa kila aina, wengi wa habari wa mbea nk naomba mtueleze mnaofahamu. Uyu Dj anae treand na Video zake akipiga miruzi, mara Anasema Friday. Mwishoni mwa mwaka huu zimeonekana clip akigawa pesa sana mtaani. Je ni kweli u Dj unalipa kiasi iko na elimu yake ikoje?
  9. kurlzawa

    Keneth Mguna, Soft talented modern midfielder

    Habari za mda huu, Wapenzi wa team za kariakoo, msiumie leo nipo kumsifia kiungo wa dimba la chini wa Azam mzee wa one Touch Na ma shoot ya mbali aisee Kenneth Mguna ni controller wa mechi. Anacheza uku anaelekeza! 1. Vision 2.Disguess passes 3 Flexibility 4.sharpness 5.Intelligence Hizo ni...
  10. kurlzawa

    Uongozi wa Simba acheni kushupaza shingo

    Hii team inahitaji wachezaji kama 8 wa uhakika. Nilishangaa jana iliponunua Kocha mpya. Kanoute, Mzamiru, na wengine wengi hao wote ni Average player's. Viongozi kama hamna pesa za usajiri semeni wadau wa soka tuwachangie.
  11. kurlzawa

    Njoo uipinge hii fallacious argument

    Habari mlioenda shule kidogo njoo mtuambie aina ya Hii FALLACIOUS ARGUMENT EXAMPLE: All men are humans. All women are humans. Therefore all Men are Women. Aya njoo Mbishane kwa hoja hapa[emoji16]
  12. kurlzawa

    Je, ni kweli bia zimepanda bei?

    Habarini za mda huu wakuu Juzi usiku nmekula beer nyingi sanakwa bei ya kawaida Cha kustaajabisha jana nmeenda sehemu kuangalia mpira nashaangaa bei ya beer zile za 1500 naambiwa zimepanda na saivi ni shilinga 2000 Je ni kweli zimepanda au nimetaka kuibiwa?
  13. kurlzawa

    Huyu ni Mkuu wa Majeshi wa Uganda au?

    Jana nmeona mwanadada mrembo Ila kutokana na lugha gongana sijaelewa mwenye clear information atuambie je huyu mdada ndiyo mkuu wa MAJESHI au ? Na je Kuna uwezekano mwanamke kuwa special force? Naombeni maelezo yaliyoshiba Wana jamiiforum
  14. kurlzawa

    Document the experience of early primary resistance in Central Africa

    Swali lenyewe. **Document the experience of early primary resistance in Central Africa and Show how those resistances have shaped the atmosphere of Anti-colonial struggle in the region.Use zimbabwe,Congo Brazzaville and Congo Kinshasa as your case study.
  15. kurlzawa

    Captain wa sasa wa Azam

    Wakuu habarini za mda huu. Napenda kuuliza ni nini kilimfanya CAPTAIN wa Sasa wa AZAM kuchange jina? Mwaka Jana alikuwa anaitwa SOMEBODY BRAYSON Kama sikosei saivi namuona anaitwa SOSPETER BAJANA Upi ukweli juu ya huyu kiungo Fundi?
  16. kurlzawa

    Future tense is still valid in english language?

    By considering The definition of TENSE. Which state that tense is the contrast of the verb to indicate time. Through the above definition I'm arguing that in English language there is only two Tense which is PRESENT TENSE and PAST TENSE infact that the two mentioned tenses during its sentence...
  17. kurlzawa

    Who is Martin Maranja Masese?

    Huyu kijana amekuwa akijipambanua kama kijana wa karibu wa CHADEMA na kijana wa Mbowe Aina ya siasa zake nazifurahia sasa hivi naona anaparuana na kigogo huko Twitter bila kumuogopa. Kwa anayemfahamu who is he?
  18. kurlzawa

    Tuambie umesoma Chuo gani kati ya hivi?

    Kama ulikuwa unatamba mtaani umesoma chuo na hukusoma Kati ya vyuo hizi kwenye list jua ulikuwa unapoteza mda wako Yaani Elimu yako ni useless
  19. kurlzawa

    English practice. Njoo ujaze nafasi iliyo wazi

    Jaza nafasi iliyo wazi kwa YES or NO Oh_________ I'm an idiot Bila kusahau hii nmeiona mahala flani uko twitter Nika i copy tuje kuchangamshana kidogo Wale waliosoma kwa magari ya njano njooni.
  20. kurlzawa

    Job Ndugai anajisikiaje Tundu Lissu akilipwa stahiki zake?

    Habari za mchana huu wakuu, Moja kati ya habari zinazogagaa mitandao mbalimbali ni suala la aiyekuwa mbunge wa zamani Tundu Lissu kuonekana katika majina ya watu wanaotakiwa kulipwa stahiki zake. Je, Job Ndugai atajisikiaje maana alikuwa anaongoza hadharani kumkashifu Tundu Lissu ilihali...
Back
Top Bottom