kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,655
Wana hip hop hamjambo?
Aisee hii diss ya dkk 8 ya DIZASTA VINA ni balaa, mtoto RAPCHA amechanwa mno umo ndani. Siku zingine apunguze kiherehere, maradona DIZASTA ni moto sana kwa kizazi iki kwa utunzi.
Nakushauri mpenda hip hop kama hujaiskiliza itafute usikie kilichoongelewa humu.
Rapcha ukijibu iyo umepotea, better kaa kimya.