kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,653
Habarini za mda huu wakuu
Juzi usiku nmekula beer nyingi sanakwa bei ya kawaida
Cha kustaajabisha jana nmeenda sehemu kuangalia mpira nashaangaa bei ya beer zile za 1500 naambiwa zimepanda na saivi ni shilinga 2000
Je ni kweli zimepanda au nimetaka kuibiwa?