Tatizo la sikio la kushoto kuuma naombeni msaada

kurlzawa

JF-Expert Member
Jan 23, 2018
16,703
20,606
Habari kama kichwa cha habari

Naomba kuuliza dawa ya sikio kuuma

Maana sikio la upande wa kushoto lina sumbua sana

Linapoa then linaaanza tena kuuna
 
Habari kama kichwa cha habari

Naomba kuuliza dawa ya sikio kuuma

Maana sikio la upande wa kushoto lina sumbua sana

Linapoa then linaaanza tena kuuna
Habari Mkuu,

Kuuma kwa sikio mara nyingu husababishwa na maambukizi sehemu ya nje, ya kati au ndani kabisa ya sikio.

Wakati mwingine inaweza kusababishwa na kujaa kwa nta (uchafu), kuingia kwa kitu kutoka nje ya mwili pamoja na mambo mengine yanayoweza kugunduliwa baada ya kufanya check up.

Sijui kama ulikuwa umeenda hospitalini kabla, lakini nakushauri uende sasa ili uchunguzwe na kusaidiwa maana Sikio ni sehemu muhimu sana ya mwili ambayo pamoja na kukufanya usikie, hutunza balance ya mwili.
 
Umeenda hospital ama, pia ukienda uwe makini madaktari nao wanaweza kukufanya kiziwi kwa kupitisha mavifaa Yao feki. Pia usilazimishe pamba stiki kwenye sikio Kwan husukuma uchafu kwenda kwenye Ngoma ya sikio. Bora utumie kitu ambacho hakiwezi ziba sikio, kama ni uchafu utoe taratibu. Kama ni infection check kwanza au

Ni PM
 
Habari kama kichwa cha habari

Naomba kuuliza dawa ya sikio kuuma

Maana sikio la upande wa kushoto lina sumbua sana

Linapoa then linaaanza tena kuuna
Habari yako Mkuu? pole sana kwa maradhi yako nitafute kwa wakati wako ilinipate kukutibia maradhi yako upate kupona uguwa pole.
 
Back
Top Bottom