martin maranja masese

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Busara za Martin Maranja Masese: Tujadili kuhusu: Commission of Inquiry into the Post-Election Violence (CIPEV), chini ya Jaji Philip Waki

    Nafikiri nitaeleweka kirahisi. Tujadili kuhusu; Commission of Inquiry into the Post-Election Violence (CIPEV), chini ya Jaji Philip Waki, Waki Commission (Tume ya Waki) iliundwa kwa tangazo la Gazette Notice ya Rais Mwai Kibaki, Terms of reference (ToR) zake zilitangazwa katika Kenya Gazette...
  2. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Anaandika Martin Maranja Masese, kuhusu uamuzi wa mahakama dhidi ya kesi ya Baba Levo na Zitto Kabwe

    Pole sana blo angu' Zitto Kabwe Mbogamboga walisubiri zambarau muingie nao kwenye ndoa ya mkeka kule Zanzibar, halafu wakumanue kwenye kesi ya ubunge Kigoma. Kwa maamuzi haya ya leo it means ndoa yenu imetikisika kabla hata honeymoon haijaanza. Anyways, tulikueleza mapema kwamba MaCCM...
  3. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Martin Maranja Masese , wewe ni kirusi tu CHADEMA, kwahiyo hapa unajaribu kusema Mpango wenu 'Mkutano Mkuu ndio utawatoa Lissu na Heche "

    Haka kajamaaa, kametwit Jana ukiwa una ujinga KICHWAN , unaweza kadhania kwamba kenyewe kanawapenda akina Lissu na Heche na kwamba hamna wa kuwatoa. Tundu A.M Lissu na John Heche walichaguliwa na Mkutano Mkuu wa CHADEMA. Hakuna kiumbe yeyote anayeweza kuwaondoa zaidi ya Mkutano Mkuu wa chama...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Martin Maranja Masese: Kikwete toa boriti kwanza kwenye jicho lako ndiyo utaona Kibanzi kwenye jicho la mwenzio

    Unatafuta amani kwa jirani wa mbali, kwako panaungua. Kufikia Aprili 2026, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Sudan Kusini, Dr. Riek Machar Teny, bado yuko kizuizini nyumbani kwake (house arrest) Juba akikabiliwa na kesi ya uhaini, mauaji, na uhalifu dhidi ya binadamu. Dr. Riek Machar Teny amekuwa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Anaandika Martin Maranja Masese: Media house ni corrupted kwa kiwango kisichorekebishika

    TOILET PAPER. Media house ni corrupted kwa kiwango kisichorekebishika. Narejea katuni ya @masoudkipanya alipozifananisha na ‘toilet paper’. Nafikiri hakukosea. Zinaogopa kuripoti cross-examination ya Tundu Lissu (tazama video). zinaandika na kuonesha upande wa Examination-in-chief tu. Hazitaki...
  6. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa kashfa ya ARV apewa tenda kuzalisha ARV tena

    MTUHUMIWA WA KASHFA YA ARV APEWA TENDA KUZALISHA ARV TENA Na Martin Maranja Masese . @wizara_afyatz hebu tujadiliane kwa utimamu. Turudi nyuma kidogo. Ramadhan Madabida akiwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam akiwa pia ndiye Ofisa Mtendaji Mkuu wa kiwanda cha dawa cha Tanzania...
  7. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Martin Maranja Masese: Hivi ndivyo tutakavyozuia chaguzi zote zijazo kuanzia na huu wa 2025

    Ni mjadala unaoendelea huko X/Twitter kati ya Martin M. Masese na Peter Madeleka (wakili). Alianza kwa swali la kejeli Martin M. Masese akamshushia nondo hizi akirejea mavuguvugu mbalimbali yaliyowahi kutokea ktk nchi mbalimbali duniani yakihamasishwa na kaulimbiu (slogans) kali kama ilivyo...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Martin Maranja Masese: Tumefika gereza la Ukonga, Tundu Lissu yupo salama

  9. DexterLab

    JamiiForums Tanzania Uhasama kati ya Martin Masese na Maria Sarungi chanzo ni nini?

    Kwa wale wanaofatilia mtandao wa 𝕏 zamani Twitter hiyo battle hapo juu mtakuwa mnaikumbuka. Battle ni ya muda kidogo najua Hilo. Nilikuwa nataka kujua chanzo ni nini? Nani aliyemuanza mwenzie kati ya Martin Maranja Masese na Sarungi? Watapatana kweli kwa maslahi ya taifa? Wakuwapatanisha ni Nani?
  10. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Chahali amtuhumu Martin Maranja Masese kuwa ni “mtu wa system”

    Katika majibizano yao huko X zamani Twitter, Martin alimshauri Evarist Chahali arudi Tanzania kuendeleza harakati za kupambanna dhidi ya CCM na sio kubeza na kuwaita Chadema waoga. Evarist Chahali nae akamjibu Martin, mbona yeye Martin hajarudi kitengoni TISS? Watu wakaanza kuhoji, kwanini...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Hivi Chawa wa Mama wana tofauti gani na kina Erythrocytes, Martin Masese na wapinzani wengine?

    Wakuu kuna CCM isiwe dhambi wala kuwa Upinzani isiwe dhambi. Ni lini Erythrocytes au MMM wameacha kumsifia na kumtetea Mbowe? Je, Mwenyekiti hakosei? Je, anastahili kuwepo kwenye uongozi milele? Wanachadema hatulioni hili? Au sote ni machawa?
  12. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Martin Masese: Tumezungumza na dereva, ni kweli hilo gari halina kamera!

    Kada na mwanachama wa CHADEMA, Martin Marnja Masese ametumia ukurasa wake wa Twitter kudokeza kuwa wakati wanaelekea kwenye mazishi ya mzee Ali Mohamed Kibao walikutana na dereva wa basi la Tashriff. Kwenye tweet hiyo, MMM alisema kuwa walikutana na Tashriff express eneo la Mbwewe mkoani Tanga...
  13. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu, tunakupuuza wewe na si Nipashe

    MWIGULU TUNAKUPUUZA WEWE SIYO NIPASHE. Mwigulu Nchemba, lawama zako usiwape NIPASHE. Umenukuu POST yangu. Sisi ni wamiliki wa pesa zilizopo (BoT). Tunahitaji ufafanuzi wa kueleweka. NIPASHE wamerejea. (1) ripoti za uwajibikaji 2022/23 zilizotokana na Ripoti za CAG uliofanywa na WAJIBU (2)...
  14. Inside10

    JamiiForums Tanzania Martin Maranja Masese: Vipindi vya redio hapa Tanzania vinaharibu fikra na mitazamo yetu wasikilizaji

    Nimeisoma hii twit yake huko X naona kuna ukweli wa wazi kabisa.. God have mercy on US, tunatengeneza jamii isiyokuwa na fikra chanja na upembuaji wa mambo MTAMBUKA kwa nchi yetu. Hii hapa twit yake; "Taifa ambalo redioni asubuhi hadi mchana wanajadili michezo. Mchana hadi jua linapozama...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi akutana na Maranja Masese na kufanya naye Mazungumzo Mazito

    Mwenyekiti huyo, ambaye pia ni Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Kimataifa mwenye mafanikio, amekutana na Maranja Masese jijini Dar es Salaam na kufanya naye mazungumzo. Bado haijafahamika hasa kilichozungumzwa , Japo tetesi zinadokeza kwamba Mazungumzo yao yalihusu hali ya kisiasa ya Tanzania...
  16. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Maranja anaishi kwa kutegemea kuzururazurura kwenye korido za CHADEMA na kulamba viatu vya Mbowe

    Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe Martin Maranja. Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi CHADEMA ilivyosheheni wahuni. Chonde chonde Katibu mkuu Mnyika hebu ingilia kati nidhamu na kuheshimiwa a kurejee ndani ya chama Ni...
  17. Supu ya kokoto

    JamiiForums Tanzania Martin Maranja Masese atafutiwe Jimbo agombee 2025

    Huyu jamaa ni hazina katika upinzani WA nchi hii. CHADEMA angalieni namna ya kumtafutia Jimbo ili akaongeze nguvu bungeni coming 2025. He deserves....na haya ni maoni binafsi.
  18. S

    JamiiForums Tanzania Martin Maranja Masese amchambua Hayati Magufuli (JPM) mwanzo mwisho

    “MAGUFULI ALICHELEWA KUWA RAIS WETU.” Tulitakiwa kuwa na JPM kabla ya miaka 20 iliyopita. Magufuli alichelewa kuwa Rais wetu kwa katiba ya kifalme/kisultan tuliyonayo. Miaka 5 na miezi 5 ilituonesha rangi za udikteta. Ingawa rangi hiyo haikufika kwa mtu mmoja mmoja, wapo walioguswa Bado...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Martin Maranja Masese: Fedheha Makubaliano Barrick na Serikali

    Na Martin Maranja Masese “FEDHEHA MAKUBALIANO BARRICK NA SERIKALI” Julai 2019 Barrick Gold corporation ilinunua kampuni ya ACACIA Mining Plc kwa $428M. Hii ni baada ya mjadala wa muda mrefu kati ya BARRICK na ACACIA takribani miezi 5 ya mazungumzo BARRICK na ACACIA wakakubaliana thamani ya...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe akutana na Martin Maranja Masese

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, akiwa Mjini Zanzibar, amekutana na kijana wa kazi, muadilifu sana na kada mtiifu wa Chama hicho Maranja Masese. Masese na Mbowe wamepata wasaa wa kubadilishana mawazo na mikakati , hasa ikizingatiwa kwamba Oparesheni 255 inatarajiwa kuendelea Kanda ya...
Back
Top Bottom