Search results

  1. Angel Msoffe

    Msaidieni mama huyu anateseka, sana

    Habarini wapendwa,kuna mama jirani yangu anasumbuliwa na ugonjwa wa ajabu,Kuna mda KIFUA KINAPATA MOTO SANA AKIWEKA KITAMBAA CHENYE MAJI BARIDI NACHO KINAPATA MOTO,amejitahd kwenda hospitali mbalimbali kama Kibong'oto(maalumu kwa matatizo ya kifua)na Kcmc lakini hajaonekana na ugonjwa wowote,pia...
  2. Angel Msoffe

    Flora Msoffe amejifungua

    Ni jambo la kumshukuru Mwenyez Mungu kwani dada yangu na mwana jf mwenzetu FLORA MSOFFE amejifungua mtoto wa kike leo sa 7 mchana katika hosp. Ya KCMC, tusherekee kwa pamoja.
  3. Angel Msoffe

    Today is my birthday

    Habarini wana jf wenzangu, mwenzenu nilizaliwa tarehe 18 march 198_, japo bado nimelazwa KCMC lakini namshukuru MUNGU kwani nimeweza kuiona siku ya leo na ninaendelea vyema, aidha nawashukuru wote kwa kuniombea dua kwa Mwenyezi Mungu nimefarijika sn na nimepata nafuu, pia nachukua fursa hii...
  4. Angel Msoffe

    Nimelazwa Kcmc

    Habarini wana jf wenzangu, mwenzenu naumwa na nimelazwa kcmc hospital toka juzi sa 5 usiku, NAOMBENI MNIOMBEE DUA KWA MWENYEZ MUNGU NIPONE MAPEMA nirudi kwenye mapambano ya kulikomboa taifa. Mungu ibariki Tz, Mungu ibariki Jf, Mungu ibariki .......
  5. Angel Msoffe

    Ni zipi Kazi za msajili wa vyama hapa Tz

    Kwa faida ya Watanzania wote ningeomba tujuzane na kuelimishana wajibu alionao mh. TENDWA kwa mujibu wa sheria.
  6. Angel Msoffe

    Watanzania tumechangia kuufikisha mgomo wa madaktari hapa ulipofika

    Kazi kubwa ya madaktari ni kutibu wananchi wenye hali ya chini, na mgomo huu umetuathiri sisi wananch wa hali ya chini ambao ndio walipa kodi zinazowalipa madaktari mishahara na kuboresha huduma za afya, cha kushangaza toka mgomo uanze WATANZANIA HATUJAWASAPOT MADAKTARI WETU KWA KUCHUKUA HATUA...
  7. Angel Msoffe

    Waraka wa siku 100

    Wanajamvi wenzangu naomba kuuliza ule waraka uliokuwa unawekwa jamvini na kuondolewa na mods uliokuwa umeandika na wajeshi kumshinikiza mkuu wa kaya ajiuzulu kabla ya siku mia umeishia wapi? Je siku 100 hazijaisha au ilikua ni propaganda za uzushi tu?
  8. Angel Msoffe

    Ni viongozi wangapi wa serikali waliojitoa kuokoa waathirika wa mafuriko??

    kiongozi yupi wa serikali aliyeshiriki moja kwa moja kuokoa raia waliokwama kwenye maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha? Mana naona akina JK na wengine wengi wanatuma salam za rambirambi tu! TULIWACHAGUA ILI WATUSAIDIEJE?
  9. Angel Msoffe

    Hodi hodi jama naingia,

    Honestly i love jf that's why nimeshindwa kuvumilia hadi ban iishe. NAOMBENI MNIPOKEE TENA. Wenu mtiifu A.M
  10. Angel Msoffe

    Tukumbushane MATUKIO YA KUSIKITISHA yaliyotokea TZ 2011

    Mi nakumbuka 1.AJALI YA MELI KULE ZENJ, 2.MAUAJI YA RAIA KULE KWENYE MGODI NYAMONGO 3. POLISI WALIUA RAIA WALIOKUA WANADAI HAKI YAO ARUSHA 4. J.K KUSAIN MSWADA WA KATIBA 5.........6..........7.............
  11. Angel Msoffe

    Beba BANGO twende kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru

    Wale wote mlikua mmekusudia kuandamana kupinga mambo mbalimbali yanayofanywa na serikali mkanyimwa kibali na polisi kwa madai kuwa kuna tishio la AL-SHABAB wakati wa kuwakilisha maoni yetu umefika tena wametukaribisha wenyewe na kutuhakikishia hakutakua na AL SHABAB, hivyo nakuomba ewe...
  12. Angel Msoffe

    Nawaomba mniombee msamaha kwa mke wangu!

    Natubu kwa MWENYEZI MUNGU NA KWA MKE WANGU, NAMWOMBA SANA ANISAMEHE. nilimwoa mke wangu nikiwa sina chochote na kwa msaada wake wa mawazo na msaada wa Mungu tulifanikiwa kujijenga kimaisha na hali yetu ya kipato ni nzuri kidogo. nashindwa nieleze vipi ila ninachojua nimemkosea sana...
  13. Angel Msoffe

    Sauti ya umma ni sauti ya Mungu

    Napenda kutoa angalizo wa WABUNGE WOTE WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA kuwa swala la katiba ni swala la wananchi wote si wabunge wa ccm, chadema,cuf,tlp, nccr wl chama chochote hivyo WASITISHE haraka majadiliano ya mswada yanayoendelea bungeni warudi kwanza kwa wananch kusikiliza...
  14. Angel Msoffe

    Wabunge wanawake wa CCM?

    katika ishu ya mswada toka ianze jana ni mbunge gani mwanamke wa (ccm) aliyesimama na kuwawakilisha wanawake wa tanzania kwa kuchangia ishu ya mswada kwa maslah ya TAIFA?? WANAWAKE WA CCM WAKIONGOZWA NA ANNA MAKIND.A WANAWEZA KUWAWAKILISHA WANAWAKE??
  15. Angel Msoffe

    Maandamano makubwa

    Kuna kila dalili ya kutokea maandamano makubwa na vurugu za kutosha kama kesho mswada utapelekwa bungeni na kusomwa kwa mara ya pili na hatimaye kupitishwa kwa unafiki na wabunge [ccm]. KAMA SERIKALI YA CCM KM INA MASIKIO ISIKILIZE MATAKWA YA WANANCHI.
  16. Angel Msoffe

    ~*~*KARIBUNI WOTE~*~*.a

    IMETIMIA MIAKA 22 TOKA ALIPOFARIKI BABA YETU MPENDWA MAREHEM JOSEPH JAMES MSOFFE, TULIMPENDA SANA BABA YETU LKN MUNGU ALIMPENDA ZAID. DAIMA TUTAMKUMBUKA KWA UPENDO WAKE KWA FAMILIA YK NA JAMII NZIMA. Kwa niamba ya familia napenda kuwakaribisha wana jf wenzetu kwenye misa ya marehemu baba...
  17. Angel Msoffe

    Viongozi wa CHADEMA Moshi

    Tungependa kuskia tamko ktk kwa viongozi wetu wa chama kuhusu kuunga mkono makamanda wenzetu wa Arusha juu sakata la mh. G.LEMA. Tuelezeni tunawaungaje wenzetu mkono? Tuandamane, tukeshe au tufanyaje? TUNAOMBA TAMKO.
  18. Angel Msoffe

    Sitaoga wala kunawa mikono sbb nimemshika prince charles mkono

    Hayo ni maneno yaliyotamkwa na wanafunzi wa kike waTanzania ambao ni marais, mawaziri, wabunge na viongozi watarajiwa wa kesho wa Tanzania. SOURCE: bbc swahili .
  19. Angel Msoffe

    Tumjadili mume *****.

    asalam aleikum, ndugu zangu wna jf hebu tujadili sifa kuu za mume *****. 1. HUSHAWISHIWA NA MKEWE ADHARAU,AWACHUKIE NA KUWATENGA NDUGU NA WAZAZI WAKE...endeleza sifa........
  20. Angel Msoffe

    Hakuna haja ya kusherekea miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika

    Hizi ni sbb zinazonifanya nisione umuhimu wa maadhimisho hy 1. KIUCHUMI kwa sasa hapa TZ uzalishaji mali ni mdogo sn ukilinganisha na rasilimali vitu zilizoko Tz, tunategemea vitu vingi sn tk nje ya nchi hii inatokana na serikali kuua viwanda mf. General tyre, machine tools nk. TANZANIA...
Back
Top Bottom