Today is my birthday

Angel Msoffe

JF-Expert Member
Jun 21, 2011
6,781
1,639
Habarini wana jf wenzangu, mwenzenu nilizaliwa tarehe 18 march 198_, japo bado nimelazwa KCMC lakini namshukuru MUNGU kwani nimeweza kuiona siku ya leo na ninaendelea vyema, aidha nawashukuru wote kwa kuniombea dua kwa Mwenyezi Mungu nimefarijika sn na nimepata nafuu, pia nachukua fursa hii kuwaomba MUMUOMBEE FLORA MSOFFE AJIFUNGUE SALAMA, Mungu awabariki wote.
 
Pole, Mwenyezi Mungu akuponye maradhi zako kwa haraka na akuimarishie afya yako daima!
 
Habarini wana jf wenzangu, mwenzenu nilizaliwa tarehe 18 march 198_, japo bado nimelazwa KCMC lakini namshukuru MUNGU kwani nimeweza kuiona siku ya leo na ninaendelea vyema, aidha nawashukuru wote kwa kuniombea dua kwa Mwenyezi Mungu nimefarijika sn na nimepata nafuu, pia nachukua fursa hii kuwaomba MUMUOMBEE FLORA MSOFFE AJIFUNGUE SALAMA, Mungu awabariki wote.
.
Happy birthday AM
 
Happy Birthday Angel!

198X, bado kinda sana, upone haraka ili uje kuenjoy na kutumukia taifa.
 
Happy birthday Angel, na mwenyezi mungu akufanyie wepesi ktk maradhi yanayokusumbua upone haraka.
 
Angel mamitto, happy birthday dearest! Mwenyezi Mungu akujaalie upone upesi, uwe na afya njema .....na maisha marefu yenye heri na fanaka!!
 
Back
Top Bottom