Flora Msoffe amejifungua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Flora Msoffe amejifungua

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Angel Msoffe, Mar 18, 2012.

 1. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Ni jambo la kumshukuru Mwenyez Mungu kwani dada yangu na mwana jf mwenzetu FLORA MSOFFE amejifungua mtoto wa kike leo sa 7 mchana katika hosp. Ya KCMC, tusherekee kwa pamoja.
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Ni jambo la kumshukuru Mwenyez Mungu kwani dada yangu na mwana jf mwenzetu FLORA MSOFFE amejifungua mtoto wa kike leo sa 7 mchana katika hosp. Ya KCMC, wote yeye na mtoto pamoja wanaendelea vizuri. Tusherekee ujio mpya kwa pamoja.
   
 3. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,451
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Basi atukuzwe yeye awezaye kufanya mambo ya ajabu mno kuliko yote tuyaombayo au tuyawazayo, kwa kadiri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu
   
 4. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Hongera FM ,
  na pole kwa safari ndefu ya mawiki 52 .
  Umefika mwisho wa safari leo.
  Bt kumbuka mwisho wa safari iliyokwisha ni mwanzo wa safari mpya .
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Hongera zake. Anakaa wapi tumletee mtoto pempas
   
 6. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  honey tunatengeneza lini wa kwetu?
   
 7. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #7
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,301
  Likes Received: 953
  Trophy Points: 280
  Tunampongeza kwa kutuletea mtoto mzuri wa kike, pia tunamshukuru mungu kwa dada yetu kujifungua salama.
   
 8. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #8
  Mar 18, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hongera yake jamani, mtoto wakike? Ngoja nianze kuweka sh. Mia mia ili nije kuoa huyo.
   
 9. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #9
  Mar 18, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  jamani! Au ni ule usemi usemao ng'ombe hazeeki maini?
   
 10. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #10
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,071
  Likes Received: 421
  Trophy Points: 180
  hongera zake. mbona haraka hivyo?. dogo anaitwa nani?
   
 11. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #11
  Mar 18, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Asante sana Angel kwa taarifa na Hongera sana Flora kwa kujifungua salama.
  Mungu aliye Mkubwa awabariki.
   
 12. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #12
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hongera zake
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  hongera sana flora.

  Haka katoto ni ka jf superstaa, tumekasubiri kwa hamu sana.
   
 14. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #14
  Mar 18, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,872
  Likes Received: 6,222
  Trophy Points: 280
  hongera
   
 15. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #15
  Mar 18, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  anaishi masaki kwenye li apartment opposite na libangalo langu.
  Hongera ms msoffe kwa kujifungua.
   
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  bangalo lako lilikuwa mandazi lodi, umelihamishia wapi?

   
 17. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #17
  Mar 18, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  duh...dada Angel hii jpil ni ya baraka kwako...hongereni bana...naona ukoo umeongeza Mrembo!
   
 18. mchadema

  mchadema JF-Expert Member

  #18
  Mar 18, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  hongera mtani! MUNGU awatunze.
   
 19. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #19
  Mar 18, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  umepata birthday-mate!...hongereni sana!
   
 20. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #20
  Mar 18, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Hongera sana familia ya msoffe!! A baby is always a blessing...
   
Loading...