Waraka wa siku 100 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waraka wa siku 100

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Angel Msoffe, Jan 24, 2012.

 1. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Wanajamvi wenzangu naomba kuuliza ule waraka uliokuwa unawekwa jamvini na kuondolewa na mods uliokuwa umeandika na wajeshi kumshinikiza mkuu wa kaya ajiuzulu kabla ya siku mia umeishia wapi? Je siku 100 hazijaisha au ilikua ni propaganda za uzushi tu?
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Siku 100 hazijaisha.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Ule waraka umepeleka watu Mahakamani, na wako nje kwa dhamana wakingoja maamuzi ya Pilato!
  Unacheza na sirikali ya waoga nini?
   
 4. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  ukikutwa nao unaambiwa wewe ndo umeuandika......chezea legelege wewe!!!
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ndivyo ilivyo kwa maisha yetu wabingo kila muda uongo uongo tu...
   
 6. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  hata wanajeshi wakipindua watakutana na kesi the hague,magamba wana support wa magharibi sababu wao ndio wanyonyaji wakubwa wa rasilimali zetu,mafisadi wanachukua makombo..god help us
   
 7. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #7
  Jan 24, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Wangekuwa siriazi hawengetoa waraka bali wangefanya kimyakimya. Nahisi hao wanajeshi walikuwa wamelewa bange.
   
 8. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #8
  Jan 24, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  ALA! kwahiyo ndo bas tena hakuna kitakachotendeka tena?
   
 9. Absolute

  Absolute JF-Expert Member

  #9
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 19, 2007
  Messages: 335
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  The barking dog seldom bites...
   
 10. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #10
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,787
  Likes Received: 2,683
  Trophy Points: 280
  ID yako Matata!
   
 11. Bourgeoisie

  Bourgeoisie JF-Expert Member

  #11
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 611
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Bila shaka inaandaliwa plan B ndani ya kimya hicho.........mia!
   
Loading...