Ni viongozi wangapi wa serikali waliojitoa kuokoa waathirika wa mafuriko?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni viongozi wangapi wa serikali waliojitoa kuokoa waathirika wa mafuriko??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Angel Msoffe, Dec 22, 2011.

 1. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kiongozi yupi wa serikali aliyeshiriki moja kwa moja kuokoa raia waliokwama kwenye maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha? Mana naona akina JK na wengine wengi wanatuma salam za rambirambi tu! TULIWACHAGUA ILI WATUSAIDIEJE?
   
 2. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mbunge wa Mafia amekodi boat na kushiriki katika uokoaji source. Michuzi blog
   
Loading...