Nimelazwa Kcmc

Nimelazwa Kcmc

Angel Msoffe

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2011
Posts
6,781
Reaction score
1,658
Habarini wana jf wenzangu, mwenzenu naumwa na nimelazwa kcmc hospital toka juzi sa 5 usiku, NAOMBENI MNIOMBEE DUA KWA MWENYEZ MUNGU NIPONE MAPEMA nirudi kwenye mapambano ya kulikomboa taifa. Mungu ibariki Tz, Mungu ibariki Jf, Mungu ibariki .......
 
Pole mkuu!
ALLAH atakufanyia wepesi inshaallah!
 
Habarini wana jf wenzangu, mwenzenu naumwa na nimelazwa kcmc hospital toka juzi sa 5 usiku, NAOMBENI MNIOMBEE DUA KWA MWENYEZ MUNGU NIPONE MAPEMA nirudi kwenye mapambano ya kulikomboa taifa. Mungu ibariki Tz, Mungu ibariki Jf, Mungu ibariki .......

Pole sana,zingatia dawa na sindano tu kutokana na maagizo ya daktari utapona.
 
Pole sana ndugu Mungu wetu ni mponyaji atakuponya!ila kuna ndugu yako nadhani alituambia anakuja kujifungua kapotelea wapi zamani kidogo,ni flora msoffe kama sijakosea jina la kwanza,
 
Pole sasa mdau...... inaelekea si serious sana ndo maana umeweza kurusha uzi. Uko wodi gani nikuje hapo kukuchum?

Halafu, umelazwa na laputopu yako au unatumia simu ya mchina?

Kama ni ujauzito, Mungu akujalie ujifungue salama. Kakizaliwa kadume kaite PAW kakiwa kademu kaite AshaDii.

Sawa eh?:crazy:
 
Pole AM, mwenyezi mungu akufanyie wepesi katika ugonjwa unaokusibu upate kupona inshaallah
 
Pole sana ndugu Mungu wetu ni mponyaji atakuponya!ila kuna ndugu yako nadhani alituambia anakuja kujifungua kapotelea wapi zamani kidogo,ni flora msoffe kama sijakosea jina la kwanza,
asante sana ndugu mzalendo, my sister flora yupo anaendelea vyema na Mungu akipenda atajifungua muda wowote, tumwombee ajifungue salama
 
Habarini wana jf wenzangu, mwenzenu naumwa na nimelazwa kcmc hospital toka juzi sa 5 usiku, NAOMBENI MNIOMBEE DUA KWA MWENYEZ MUNGU NIPONE MAPEMA nirudi kwenye mapambano ya kulikomboa taifa. Mungu ibariki Tz, Mungu ibariki Jf, Mungu ibariki .......

Pole sana Angel. Get well soon!
 
Get well soon mate.
Hata hivyo inaonekana hali si mbaya sana, kwani Dr. amekuruhusu kucheza na computer
 
Back
Top Bottom