Watanzania tumechangia kuufikisha mgomo wa madaktari hapa ulipofika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania tumechangia kuufikisha mgomo wa madaktari hapa ulipofika

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Angel Msoffe, Feb 8, 2012.

 1. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kazi kubwa ya madaktari ni kutibu wananchi wenye hali ya chini, na mgomo huu umetuathiri sisi wananch wa hali ya chini ambao ndio walipa kodi zinazowalipa madaktari mishahara na kuboresha huduma za afya, cha kushangaza toka mgomo uanze WATANZANIA HATUJAWASAPOT MADAKTARI WETU KWA KUCHUKUA HATUA YOYOTE KUISHINIKIZA SERIKALI ITATUE MGOGORO HUU badala yake tumekua tukilalamika lalamika tu, ingekua ni nchi nyingine ungekuta wananch wameishinikiza serikali ijiuzulu. KWA MWENDO HUU MUDA WA UKOMBOZI TANZANIA HAUJAFIKA.
   
 2. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 453
  Trophy Points: 180
  What next we need to do? Mbona hujatoa msimamo wako?? Stop complaining ingia barabarani
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  niko tayari kuingia barabarani, lakini je MI MWENYEWE NITAWEZA?
   
 4. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  wabunge wakiongezeana posho watakavyo wao huku maisha ya mtanzania wakawaida yanazidi kuwa magumu tunanyamaza, rais akitumia mamilioni ya fedha kwa safari zisizo na tija tunamchekea, mawaziri wakisign mikataba mibovu tunanyamaza, madaktari wamegoma badala tuwasuport si tunang'aa macho tu, ETI TUNAJIDAI TUTAIKOMBOA TANZANIA! Labda miaka 100 ijayo
   
 5. Timtim

  Timtim JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 603
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Madaktari wamegoma kwa maslahi yao binafsi. Kwani wao huwa wanatusaidia maslahi ya kwetu? Maslahi yenyewe kikuu ni mshiko wa mfukoni mwao.
   
 6. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 453
  Trophy Points: 180
  So unaamini kwamba Mbuyu ulianza kama mchicha?? Chonga bango, ingia barabarani.....then c what follows!!
   
 7. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #7
  Feb 8, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Ndo wananchi wajue walichagua serikali galasha haiwajali wanajijali wenyewe wakiuugua wanaenda kuponea India
   
 8. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #8
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 453
  Trophy Points: 180
  Hivi unakielewa unachokiongea hapo blue?? We unataka support gani wananchi tuiote zaidi ya kup. ata maumivu tu hohehahe huko hospitalini??
  Serikali ndiyo inabidi iwasupport madaktari kwa madai yao
   
 9. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #9
  Feb 8, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  wao wanatibiwa india sisi maskini ndo tunatibiwa na hawa madaktari waliogoma hivyo ni wajibu wetu kuwashinikiza serikali iboreshe huduma za afya kwani sisi ndio mabosi wao.
   
 10. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #10
  Feb 8, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kama WATANZANIA tungekua ngangari serikali isingefanya madudu inayofanya sasa.
   
 11. E

  ENGINE CONTROL Senior Member

  #11
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mkuu umesahau misri nin??
  Machinga 1 tu aliyejichoma moto na kuacha ujumbe alileta mapinduzi ya kweli.
   
 12. E

  ENGINE CONTROL Senior Member

  #12
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Msiwe na wasi bandugu aliyeturoga watanzania kafariki hivyo kutegua tego ni mtihan mgum sana.

  Msiwe na wasi mda wa mapinduz bado haujafika ukifika hakuna wa kushituliwa automatic watu wataingia barabaran.
   
 13. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #13
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 453
  Trophy Points: 180
  Umeona ubabe wa Makinda jana pale mjengoni?? hembu futa kauli yako!! Sisi ni mabosi kipindi cha uchaguzi tu, coz hao wa mjengoni wote wanatupigia makogi na kugawa khanga, vyakula, shuka, t-shirt nk, after that wao ndio wanakuwa mabosi, watch out.

  [​IMG]
   
Loading...