Msaidieni mama huyu anateseka, sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaidieni mama huyu anateseka, sana

Discussion in 'JF Doctor' started by Angel Msoffe, Oct 4, 2012.

 1. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Habarini wapendwa,kuna mama jirani yangu anasumbuliwa na ugonjwa wa ajabu,Kuna mda KIFUA KINAPATA MOTO SANA AKIWEKA KITAMBAA CHENYE MAJI BARIDI NACHO KINAPATA MOTO,amejitahd kwenda hospitali mbalimbali kama Kibong'oto(maalumu kwa matatizo ya kifua)na Kcmc lakini hajaonekana na ugonjwa wowote,pia anakohoa sana,Naombeni mwenye kuujua ugonjwa huu,chanzo chake na tiba yake amsaidie huyu mama na MUNGU atambariki.Natanguliza shukrani
   
 2. Jstrong

  Jstrong Member

  #2
  Oct 4, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  Mwenyezi Mungu wewe uwezaye yote,mtazame kiumbe wako na kwa rehema zako umponye kwa njia ya Yesu kristu,amen
   
 3. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,216
  Likes Received: 10,579
  Trophy Points: 280
  Amen!!

  Ila ngoja wataamu waje hapa...
   
 4. Fadhili Paulo

  Fadhili Paulo Verified User

  #4
  Oct 4, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 3,241
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 135
Loading...