Tukumbushane MATUKIO YA KUSIKITISHA yaliyotokea TZ 2011

Angel Msoffe

JF-Expert Member
Jun 21, 2011
6,781
1,639
Mi nakumbuka 1.AJALI YA MELI KULE ZENJ, 2.MAUAJI YA RAIA KULE KWENYE MGODI NYAMONGO 3. POLISI WALIUA RAIA WALIOKUA WANADAI HAKI YAO ARUSHA 4. J.K KUSAIN MSWADA WA KATIBA 5.........6..........7.............
 
AJALI YA LIM CONNECTION NA FUSO LA MIZIGO kikafu Moshi, iliua watu zaid ya 20
 
Mimi sintosahau mwaka 2000 siku NEC-CCM ilipompendekeza JK kuwa mgombea urais nilijua tutajuta.
 
Sintosahau kauli za JK
1. Sijui kwanini Tz ni maskini
2. Wanafunzi wanaopata mimba ni kiherehere chao
3. Simjui mmiliki wa Dowans
4. Mimi siwezi kujigeuza mvua nikanyesha nikajaza mabwawa ili umeme upatikane
5. Kubwa zaidi nikuibuliwa mafisadi wengi ndani ya ccm na Jk bila aibu aliwakumbatia bila kumwajibisha hata mmoja kama Jairo na wenzake.
 
Sintosahau kauli za JK 1. Sijui kwanini Tz ni maskini 2. Wanafunzi wanaopata mimba ni kiherehere chao 3. Simjui mmiliki wa Dowans 4. Mimi siwezi kujigeuza mvua nikanyesha nikajaza mabwawa ili umeme upatikane 5. Kubwa zaidi nikuibuliwa mafisadi wengi ndani ya ccm na Jk bila aibu aliwakumbatia bila kumwajibisha hata mmoja kama Jairo na wenzake.
nakumbuka walivyompa su.mu mwakyembe na mwandosya.
 
Sukari kupanda bei mpaka kufikia 5000 baadhi ya maeneo tanganyika na ku2rudisha kipind kilee cha maduka ya ushirika.Kama arusha mpaka hii leo sukari inauzwa kwa mwenyekit.
2-Mauaji ya raia(machinga) mbeya.

3-****** kusain mswaada wa uundaji wa katiba
 
naumia na nitakumbuka sana siku ya leo WANAVYOCHEZEA MABILIONI KUSHEREKEA MIAKA 5O YA UFISADI wkt wenye nch wanakufa njaa
 
Siku ambayo nauli ya toka Dar kwenda DODOMA ilipanda toka 15 elf hadi 26000,tena kwa coaster,
 
Back
Top Bottom