Search results

  1. yutong

    Spere Parts za Audi A4 (Ushauri)

    Ndugu wanajamvi napenda kujua kama spare parts za audi zinapatikana bongo hapa. Maana kuna mtu anataka nimwagizie audi ila sasa kabla sijamuagizia ni bora nikajua upatikanaji wa spare nisije kulaumiwa. Anayenijibu naomba anitag. asanteni sana weekend njema
  2. yutong

    natafuta nyimbo za Caz T

    Habari wana jamvi. Natafuta nyimbo za mwanamziki Caz T aka mwana wa komba. Ki ukweli nimezimiss sana hizo nyimbo. Yeyote mwenye taarifa mahali zinapatikana tafadhari anisaidie. Naomba ukijibu unitag ama unikoti. Asanteni sana.
  3. yutong

    Ushuru wa Magari

    Waheshimiwa wana jamvi habari zenu. Hivi karibuni nataka kuagiza gari aina ya Mercedes benz ML270 kwa USD 6790 CIF Dar es Salaam, ina cc2700, Diesel, mwaka 2000. Naomba kujua endapo nitaagiza gari hii kodi yake mpaka kuitoa bandarini itakuwa sh ngapi? Naombeni msaada wenu wataalamu wa kodi...
  4. yutong

    Car import in tanzania: Calculation of taxes

    Habari zenu wana-JF Nikiwa katika mchakato wa kuagiza gari, nimekutana na vitu vifuatavyo ambavyo ningependa ufafanuzi wenu wadau wa JF. Kwa ujumla sijaelewa tofauti kati ya "Motor vehicles with Import duty and VAT only" na “Motor vehicles with Import duty , Excise Duty and VAT”. Naomba...
  5. yutong

    Ushauri kuhusu gari BMW Series 3 ama Subaru Impreza

    Binafsi nimevutiwa sana na gari ya aina ya BMW 3 Series (318i) na Subaru Impreza. Lakini kabla sijafikia uamuzi ni gari gani ninunue kati ya hayo mawili ningeomba ushauri wenu wana-JF hapa jamvini na mnipe sababu za kiufundi kuhusu magari yote hayo mawili kila moja hasara na faida zake...
  6. yutong

    Sifa za watu hawa hapa

    Wapare wanaume: 1. wanapenda nguo za dukani 2. wanapenda kuulamba 3. wanapenda kajiheshima kwa watu 4. wanapenda sifa 5. wanapenda sana ngono na hasa kudanganya visichana 6. wanapenda kuongea kiingereza 7. wakarimu 8. vinapenda sana bia wanawake 1. wanapenda sana kuolewa 2. wanagawa sana uroda...
  7. yutong

    Msamaha wa ushuru wafanyakazi wa umma/serikali

    waheshimiwa habari zenu, hivi kwa sisi watumishi wa uma/serikali ule msamaha wa ushuru wa magari bandarini bado ipo ama umefutwa?
  8. yutong

    Shle nzuri kwa chekechea na primary Tegeta/wazo/madale

    Wadau mimi napenda kuuliza kama pana mwanaJF yeyote anayeijua shule nzuri (English medium) ya chekechea na primary iliyopo maeneo ya Tegeta, wazo ama madale. Pia nijuwe kama shule hiyo ina magari kwa ajili ya usafiri wa watoto. Naomba kuwakilisha na asanteni sana kwa kuisoma post yangu. Mungu...
  9. yutong

    Hivi ni kweli CCM mmeridhika na hali hii ya maisha?

    Hii ndo hali halisi na hapo ni kwa madaktari tu lakini sehemu zote ndo ilivyo tukianzia kwa walimu, polisi, nk. Bora hata polisi wanapanda daladala bure, Na walimu je?
  10. yutong

    matusi

    we hicho kimeo mie siwezi chukua hata bure kwanza mie si mtu wa brand hiyo. platz? what is platz bwana? mie mtu wa magari ya kazi na masafa kaka unanionaje? do i look like i care? hahahahah, mi siwezi kuendesha kimeo kama hicho bhana na tatizo si fedha ya kununua gari ila hicho kimeo na...
  11. yutong

    Mheshimiwa Yutong (MB) aongea na wazee wa JF

    Muhuri wa Utengano wa JF Idara ya Siri, Habari na Mwasiliano - Makao makuu P.O. Box 2011 Da Lala Salama Taarivya kwa byombo bya habari Ifuatayo ni hotuba ya Mheshimiwa sana Yutong (MB) Ndungu wazee wa JF niwapongeze kwa kuhudhuria wito wangu, pili niwapongeze mke wangu mama Preta Yutong kwa...
  12. yutong

    Soka la Tanzania tangu miaka ya 80 mpaka leo

    Jamani wanajf hebu tujaribu kufikiria soka la tanzania wakati ule mapaka sasa, je unafikiri limepanda kiwango ama limeshuka? na unadhani nani kahusika ktk kulishusha ama kulipandisha kiwango? Nakumbuka enzi hizo kulikuwa na wachezaji kama akina Husein Masha, Athuman China, Idd Pazi, Rosta...
  13. yutong

    Sony LED TV EX520 Series vs Samsung LED TV 5000 series

    Nataka kununua LED TV kati ya Brand zilizotajwa hapo juu, lakini mi nimechanganyikiwa ninunue ipi kati ya hizo? naomba ushauri wa kitaalamu na uzoefu katika hizi led tv mbili. Niende kwa Sony au Samsung TV? Ipi ni bora?
  14. yutong

    Maumivu ya shingo

    Habari zenu madr wa jf! Mimi nasumbuliwa sana na maumivu ya shingo sehemu ya nyuma yahani kuanziwa kwenye kisogo mpaka sehemu za mabega. Je tatizo itakuwa nini? Na je kuna tiba yoyote naweza pata? Asanteni sana wakuu
  15. yutong

    Kong'ota

    Kitendawili wanaJF ... bila shaka mtaitikia tegaaa: Ni handsome boy Anapenda safari za nje Chukua akili za kwako changanya na za mbayuwayu.. eh sizihitaji kura za wafanyakazi hata nyoka akizeeka anajivua gamba hawezi kujibadili kuwa wingu akanyeshe mtera haya kazi kwako kutegua kitendawili
  16. yutong

    Mabasi haya mnayakumbuka?

    Basi leo ngoja niwarudishe enzi za 1980's na 1990's wakati huo nchi ikiwa haijauzwa. Palikuwa na mabasi ya Layland CD wakati huo Scania ndo dili. Mnakumbuka Mabasi haya? Igesa Line Kwacha Safina Gold Line Widambe Mwaafrika Makete Siri Yako Super Star Railway Kamata Bin Klebo Bus Service Kiswele...
  17. yutong

    Jamani huyu dada nakosa raha

    Jamani wewe martha mwaipaja sijui umenipa nini mimi, nakupenda kweli wewe dada
  18. yutong

    Mamlaka ya Rais

    Utaratibu huu wa uteuzi wa makatibu wakuu wa wizara na viongozi wengine wa serikali uliopo sasa hivi unaturudisha nyuma sana. Yahani jinsi ilivyo sasa kila kitu kinasubiri maamuzi ya rais, kweli ni haki hii? kila kitu rais tu jamani? Ah amejirudinkia madaraka makubwa mno na hapo kweli kunahaja...
  19. yutong

    BBC Swahili live online

    WanaJF heshima zenu wa kuu! Maana nyie ndo kama bunge la jamhuri ya tanganyika. Nahitaji kusikiliza BBC Swahili live online, nifanyaje? Naomba msaada please.
  20. yutong

    Bendi zetu za Zamani

    Ndugu wanaJF hebu tujikumbushe bendi zetu za zamani wakati ambapo nyerere alikuwa hana utani na mafisadi' 1. Tancut Alumas Orchestra (ikiwa na kina John Kitime) 2. Bima Lee Orchesta 3. Vijana Jazz Orchestra (Ahmed Maneti, Kida Waziri enzi hizo) walitamba sana na Ngapulila, Mwisho wa Mwezi, Wifi...
Back
Top Bottom