Spere Parts za Audi A4 (Ushauri)

Spere Parts za Audi A4 (Ushauri)

yutong

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
1,601
Reaction score
338
Ndugu wanajamvi napenda kujua kama spare parts za audi zinapatikana bongo hapa. Maana kuna mtu anataka nimwagizie audi ila sasa kabla sijamuagizia ni bora nikajua upatikanaji wa spare nisije kulaumiwa. Anayenijibu naomba anitag.

asanteni sana weekend njema
 
Kuna member hapa jf anauza dukani kwake na kuagiza siku hizi sio ishu kubwa sana
 
Ndugu wanajamvi napenda kujua kama spare parts za audi zinapatikana bongo hapa. Maana kuna mtu anataka nimwagizie audi ila sasa kabla sijamuagizia ni bora nikajua upatikanaji wa spare nisije kulaumiwa. Anayenijibu naomba anitag.

asanteni sana weekend njema
Vp mkuu ulimuagizia??
 
Back
Top Bottom