Ushuru wa Magari

yutong

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
1,601
338
Waheshimiwa wana jamvi habari zenu. Hivi karibuni nataka kuagiza gari aina ya Mercedes benz ML270 kwa USD 6790 CIF Dar es Salaam, ina cc2700, Diesel, mwaka 2000.

Naomba kujua endapo nitaagiza gari hii kodi yake mpaka kuitoa bandarini itakuwa sh ngapi? Naombeni msaada wenu wataalamu wa kodi.

Kwa anayenijibu tafadhari naomba ani-tag
 
Tenga hela inayolingana na uliyoagizia. kwa uzoefu wangu garama za kodi na ushuru zinalingana na ulizoagizia.
 
Tumia TRA calculator utapata estimated cost then ongeza hapa kama 25% ya kodi iliyoandikwa hapo.

NOTE:- hiyo 25% ni self margin due to other hidden factors by TRA.
 
Tumia TRA calculator utapata estimated cost then ongeza hapa kama 25% ya kodi iliyoandikwa hapo.

NOTE:- hiyo 25% ni self margin due to other hidden factors by TRA.

huu ndio us.....ge wa nchi hii........kwa nini wasiweke wazi kila kitu mazafantaz..........wanaiba halafu wanajineemesha wenyewe...........
 
Back
Top Bottom