Ushauri kuhusu gari BMW Series 3 ama Subaru Impreza

yutong

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
1,602
0
Binafsi nimevutiwa sana na gari ya aina ya BMW 3 Series (318i) na Subaru Impreza. Lakini kabla sijafikia uamuzi ni gari gani ninunue kati ya hayo mawili ningeomba ushauri wenu wana-JF hapa jamvini na mnipe sababu za kiufundi kuhusu magari yote hayo mawili kila moja hasara na faida zake. Ningependa sana kuangazia hasa katika gharama za uendeshaji wa magari haya mawaili yahani subaru na BMW. Pia ingaliwe katika upatikanaji (availability) wa spear parts (bei si tatizo) na pia upatikanaji wa mafundi wa kurepair, kutengeneza na kufanyia service ya aina hiyo ya magari na ni wapi wanapatikana. Kwa kifupi kuhusu ulaji wa mafuta bi hivi: BMW ni 1890cc pia ni 5AT&MT mode (ulaji wa mafuta ni kilometa 9.8 kwa lita), na Subaru Impreza ni 1500cc. Naombeni ushauri wenu na ni-taapriciate kwa ushauri wenu. Naomba kila anayetoa ushauri ani-tag ili niweze kupata ujumbe kwa urahisi.
 
JuaKali

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
779
195
Binafsi nimevutiwa sana na gari ya aina ya BMW 3 Series (318i) na Subaru Impreza. Lakini kabla sijafikia uamuzi ni gari gani ninunue kati ya hayo mawili ningeomba ushauri wenu wana-JF hapa jamvini na mnipe sababu za kiufundi kuhusu magari yote hayo mawili kila moja hasara na faida zake. Ningependa sana kuangazia hasa katika gharama za uendeshaji wa magari haya mawaili yahani subaru na BMW. Pia ingaliwe katika upatikanaji (availability) wa spear parts (bei si tatizo) na pia upatikanaji wa mafundi wa kurepair, kutengeneza na kufanyia service ya aina hiyo ya magari na ni wapi wanapatikana. Kwa kifupi kuhusu ulaji wa mafuta bi hivi: BMW ni 1890cc pia ni 5AT&MT mode (inakula lita 9.8 kwa kilometa), na Subaru Impreza ni 1500cc. Naombeni ushauri wenu na ni-taapriciate kwa ushauri wenu. Naomba kila anayetoa ushauri ani-tag ili niweze kupata ujumbe kwa urahisi.
Hzo gari za mwaka gani?
 
black sniper

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
16,375
2,000
Binafsi nimevutiwa sana na gari ya aina ya BMW 3 Series (318i) na Subaru Impreza. Lakini kabla sijafikia uamuzi ni gari gani ninunue kati ya hayo mawili ningeomba ushauri wenu wana-JF hapa jamvini na mnipe sababu za kiufundi kuhusu magari yote hayo mawili kila moja hasara na faida zake. Ningependa sana kuangazia hasa katika gharama za uendeshaji wa magari haya mawaili yahani subaru na BMW. Pia ingaliwe katika upatikanaji (availability) wa spear parts (bei si tatizo) na pia upatikanaji wa mafundi wa kurepair, kutengeneza na kufanyia service ya aina hiyo ya magari na ni wapi wanapatikana. Kwa kifupi kuhusu ulaji wa mafuta bi hivi: BMW ni 1890cc pia ni 5AT&MT mode (ulaji wa mafuta ni kilometa 9.8 kwa lita), na Subaru Impreza ni 1500cc. Naombeni ushauri wenu na ni-taapriciate kwa ushauri wenu. Naomba kila anayetoa ushauri ani-tag ili niweze kupata ujumbe kwa urahisi.

BMW Ni gari nzuri lkn 2000 hiyo ni miaka 13 iliyopita itatoboa mfuko wako kwa parts, is old. Kuhusu Impreza ni choice nzuri kwa bei tu ni 10m ikiwa bado nje ya nchi lkn BMW Ni 1.3m pia outside. Kama una hela mbona umeweka miaka tofauti?
 
Osaba

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
1,819

Kuhusu suala la kula mafuta hapo usiangalie cc kwa sababu subaru ina cc ndogo lakini inakula sana mafuta kutokana na kuwa na turbo na kwa safari ndefu hauwezi ukatembea km 80 kwa saa lazima uifungue kuanzia km 100, kwa saa na hapo ndio turbo yake inapofunguka, bmw ni gari nzuri sana tatizo spare zinasumbua sana lakini zipo,
 
ChelseaBlue

Senior Member
May 22, 2011
148
0
Binafsi nimevutiwa sana na gari ya aina ya BMW 3 Series (318i) na Subaru Impreza. Lakini kabla sijafikia uamuzi ni gari gani ninunue kati ya hayo mawili ningeomba ushauri wenu wana-JF hapa jamvini na mnipe sababu za kiufundi kuhusu magari yote hayo mawili kila moja hasara na faida zake. Ningependa sana kuangazia hasa katika gharama za uendeshaji wa magari haya mawaili yahani subaru na BMW. Pia ingaliwe katika upatikanaji (availability) wa spear parts (bei si tatizo) na pia upatikanaji wa mafundi wa kurepair, kutengeneza na kufanyia service ya aina hiyo ya magari na ni wapi wanapatikana. Kwa kifupi kuhusu ulaji wa mafuta bi hivi: BMW ni 1890cc pia ni 5AT&MT mode (ulaji wa mafuta ni kilometa 9.8 kwa lita), na Subaru Impreza ni 1500cc. Naombeni ushauri wenu na ni-taapriciate kwa ushauri wenu. Naomba kila anayetoa ushauri ani-tag ili niweze kupata ujumbe kwa urahisi.
chukua BMW kiongozi, ni gari nzuri sana na spea zake zipo za kutosha kariakoo pale huangaiki na ni bei nzuri. Service yake ya kawaida sana, oil filter 25,000/=, engine oil bei zile zile. Unawezalitumia hata mwaka halijakanyaga garage, ni mwendo wa service tu muda unapofika. Gari kama Benz na BMW ni magari magumu sana na pia appearance zake za kiExecutive, linapendezea kwa watu wa ofisini na kila mahali, imagine umegonga suti unaingia kwenye subaru na mwingine kala suti kazama kwenye BMW, yupi katokezea???

zipo Model nyingi za BMW 3-Series..

BMW E21 – (1975–1983) 3 Series
BMW E30 – (1983–1991) 3 Series
BMW E36 – (1991–2000) 3 Series
BMW E46 – (1999–2006) 3 Series
BMW E90 – (2005–2011/EUR, 2006–2011/US) 3 Series saloon
BMW E91 – (2005–2011/EUR, 2006–2011/US) 3 Series Touring (Sports Wagon)
BMW E92 – (2007–2011) 3 Series Coupé
BMW E93 – (2007–2013) 3 Series Convertible
BMW F30 – (2012–) 3 Series saloon
BMW F31 – (2012–) 3 Series Touring (Sports Wagon)

kwa Case yako nadhani unaongelea BMW 318i au 320i ambazo zinaangukia kundi la E46,, Asilimia kubwa ya hizo BMW zinatumia Automanual (Streptronic) transmission yaani kama unapenda Manual utaendesha na kama Automatic utaendesha pia.kama wewe ni mtu wa Sports kidogo, unataka kuPush the limits kidogo basi BMW pia linakufaa,, ni gari tulivu lisilo na mbwembwe "kama Simba alielala'' ila ukilifungua linafunguka vibaya sana,,Speedometer inasoma 250km/h kitu ambacho ni no match kwa hizo Subaru..

ukaamua kulipimp kidogo, Xenon Headlights, Angel Eyes na 20" Alloy Rims..kwa upande wa bei hazijatofautiana sana. Kama unategemea kuImport, bei itakuwa ndogo ukilinganisha na kununua hapa TZ..Bei around 9 - 11Mil each,,

yutong

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
1,602
0
chukua BMW kiongozi, ni gari nzuri sana na spea zake zipo za kutosha kariakoo pale huangaiki na ni bei nzuri. Service yake ya kawaida sana, oil filter 10,000/=, engine oil bei zile zile. Unawezalitumia hata mwaka halijakanyaga garage, ni mwendo wa service tu muda unapofika. Gari kama Benz na BMW ni magari magumu sana na pia appearance zake za kiExecutive, linapendezea kwa watu wa ofisini na kila mahali, imagine umegonga suti unaingia kwenye subaru na mwingine kala suti kazama kwenye BMW, yupi katokezea???

zipo Model nyingi za BMW 3-Series..

BMW E21 – (1975–1983) 3 Series
BMW E30 – (1983–1991) 3 Series
BMW E36 – (1991–2000) 3 Series
BMW E46 – (1999–2006) 3 Series
BMW E90 – (2005–2011/EUR, 2006–2011/US) 3 Series saloon
BMW E91 – (2005–2011/EUR, 2006–2011/US) 3 Series Touring (Sports Wagon)
BMW E92 – (2007–2011) 3 Series Coupé
BMW E93 – (2007–2013) 3 Series Convertible
BMW F30 – (2012–) 3 Series saloon
BMW F31 – (2012–) 3 Series Touring (Sports Wagon)

kwa Case yako nadhani unaongelea BMW 318i au 320i ambazo zinaangukia kundi la E46,, Asilimia kubwa ya hizo BMW zinatumia Automanual transmission yaani kama unapenda Manual utaendesha na kama Automatic utaendesha pia.kama wewe ni mtu wa Sports kidogo, unataka kuPush the limits kidogo basi BMW pia linakufaa,, ni gari tulivu lisilo na mbwembwe "kama Simba alielala'' ila ukilifungua linafunguka vibaya sana,,Speedometer inasoma 250km/h kitu ambacho ni no match kwa hizo Subaru..kwa upande wa bei hazijatofautiana sana. Kama unategemea kuImport, bei itakuwa ndogo ukilinganisha na kununua hapa TZ..Bei around 10 - 11Mil each,,Aise ndugu nashukuru sana kwa ushauri wako mzuri. Hakika umetoa ushauri bomba sana na kwa kweli sasa let me forget about Subaru, Ntaagiza BMW sasa. Nafikiria kuagiza toka Japan lakini pia nikipata show room nzuri hapa Dar naweza itungua hapo moja kwa moja. Kwa japani kuna Autorec (bei juu sana) na Tradecarview (ambao bei nafuu kidogo). kama unaifahamu link yoyote ambayo pia inaexport magari unaweza nirushia hapa. Asante sana.
 
yutong

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
1,602
0
BMW Ni gari nzuri lkn 2000 hiyo ni miaka 13 iliyopita itatoboa mfuko wako kwa parts, is old. Kuhusu Impreza ni choice nzuri kwa bei tu ni 10m ikiwa bado nje ya nchi lkn BMW Ni 1.3m pia outside. Kama una hela mbona umeweka miaka tofauti?

Basi ngoja niweke 2006 yotei. Nadhani umeridhika sasa
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
36,315
2,000
Aise ndugu nashukuru sana kwa ushauri wako mzuri. Hakika umetoa ushauri bomba sana na kwa kweli sasa let me forget about Subaru, Ntaagiza BMW sasa. Nafikiria kuagiza toka Japan lakini pia nikipata show room nzuri hapa Dar naweza itungua hapo moja kwa moja. Kwa japani kuna Autorec (bei juu sana) na Tradecarview (ambao bei nafuu kidogo). kama unaifahamu link yoyote ambayo pia inaexport magari unaweza nirushia hapa. Asante sana.

www.beforward.jp hautojutia gari nzuri bei rahisi.
 
TCleverly

JF-Expert Member
Feb 26, 2013
1,923
0
Binafsi nimevutiwa sana na gari ya aina ya BMW 3 Series (318i) na Subaru Impreza. Lakini kabla sijafikia uamuzi ni gari gani ninunue kati ya hayo mawili ningeomba ushauri wenu wana-JF hapa jamvini na mnipe sababu za kiufundi kuhusu magari yote hayo mawili kila moja hasara na faida zake. Ningependa sana kuangazia hasa katika gharama za uendeshaji wa magari haya mawaili yahani subaru na BMW. Pia ingaliwe katika upatikanaji (availability) wa spear parts (bei si tatizo) na pia upatikanaji wa mafundi wa kurepair, kutengeneza na kufanyia service ya aina hiyo ya magari na ni wapi wanapatikana. Kwa kifupi kuhusu ulaji wa mafuta bi hivi: BMW ni 1890cc pia ni 5AT&MT mode (ulaji wa mafuta ni kilometa 9.8 kwa lita), na Subaru Impreza ni 1500cc. Naombeni ushauri wenu na ni-taapriciate kwa ushauri wenu. Naomba kila anayetoa ushauri ani-tag ili niweze kupata ujumbe kwa urahisi.

Chelseablue katoa maelezo mazuri,mimi naongeza kidogo tu.....ukiendesha BMW unaonekana exec fulani,ukiendesha IMPREZA unaoneka BOY RACER.....
 
TO2004

JF-Expert Member
Jan 11, 2013
511
250
Mkuu chukua BMW spear sio tatizo now days zinapatikana kama upo dar utazipata A-Z spear part au Saba general k/koo zipo za kumwaga na hata mikoani wana branches kama upo arusha utazipata kiurahisi zaidi na bei chee kutokea Nairobi.Subaru impreza sikushauri sana bora ingekuwa Subaru Forester ni nzuri zaidi ya BMW.
 
Kamanda Moshi

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
1,459
2,000
Aise ndugu nashukuru sana kwa ushauri wako mzuri. Hakika umetoa ushauri bomba sana na kwa kweli sasa let me forget about Subaru, Ntaagiza BMW sasa. Nafikiria kuagiza toka Japan lakini pia nikipata show room nzuri hapa Dar naweza itungua hapo moja kwa moja. Kwa japani kuna Autorec (bei juu sana) na Tradecarview (ambao bei nafuu kidogo). kama unaifahamu link yoyote ambayo pia inaexport magari unaweza nirushia hapa. Asante sana.

asante kwa kurekebisha yale maelezo ya fuel consumption.
sasa mkuu, the best way ya kupata gari zuri ni kuagiza wewe mwenyewe kutoka japan. labda nikuulize swali, watu wa Yard si wanaagiza nao kutoka japan? iweje yeye akuuzie kwa bei nzuri bila kuweka faida yake?lazima ataweka faida juu, na pia watu wa Yard wanaagiza gari ambalo ni cheap kuliko yote kutoka japan ili aweze kutengeneza faida kubwa atakapoliuza Yard as wewe utalinganisha bei ukiagiza mwenyewe na bei utakayopata ukienda Yard. Ila wewe ukiagiza unaangalia kitu roho inapenda na sio one factor ya price. please nikushauri if you can, agiza tu hilo gari wewe mwenyewe kutoka Japan.
kuwa makini na TradeCarview as makampuni mengine pale ni magumashi, better utumie paypal au escrow kulipia hiyo kampuni kuliko kuwalipa wao direct.
Good Luck mkuu!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom