Shle nzuri kwa chekechea na primary Tegeta/wazo/madale

yutong

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
1,601
338
Wadau mimi napenda kuuliza kama pana mwanaJF yeyote anayeijua shule nzuri (English medium) ya chekechea na primary iliyopo maeneo ya Tegeta, wazo ama madale. Pia nijuwe kama shule hiyo ina magari kwa ajili ya usafiri wa watoto. Naomba kuwakilisha na asanteni sana kwa kuisoma post yangu. Mungu awabariki wote
 
Kuna shule ya masister tegeta kwa ndevu karibu na kanisa la roma mimi sina mtoto pale ila watu wanaisifia sana,kuna gari moja tu la kubeba watoto.Shule nyingine ni CANOSA ipo tegeta kibaoni ila jamaa ananiambia hakuna transpot.
 
Madale kuna ATRAS na MOTHER OF MERCE zote zina usafiri,lakini sijui ubora wa elimu inayotolewa.
 
Back
Top Bottom