matusi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

matusi

Discussion in 'Matangazo madogo' started by yutong, Jun 21, 2012.

 1. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  we hicho kimeo mie siwezi chukua hata bure kwanza mie si mtu wa brand hiyo. platz? what is platz bwana? mie mtu wa magari ya kazi na masafa kaka unanionaje? do i look like i care? hahahahah, mi siwezi kuendesha kimeo kama hicho bhana na tatizo si fedha ya kununua gari ila hicho kimeo na wahatarisha wenye vipesa vya mikopo na pesa za kustaafu wasije wakaingia mkenge. Mie kaka si mtu wa kuendesha mikweche kama hiyo. We kama ulinunua kimeo na unataka umbambike mtu nasema umeshindwa washamba wa magari ndo watanunua hiyo. Kwanza mie nikikuwekea mkoko wangu hapa unaweza ukakikmbia humu JF. Fanyeni kazi wabongo acheni udadalali na utapeli bhana.
   
 2. C

  CarForSale Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bado sija-receive picha yako, mrembo. My offer stands. And, yeah, you obviously "care". You wouldn't be posting to this thread otherwise. Nataka huu uzi uwe benchmark kwa wapuuzi wote wanaopenda kuponda vitu without backing up their criticism. Sio unakuja hapa na kuanza kuropokaropoka tu only because you got nothing better to do. Fu**ing faggots!
   
Loading...