Hivi ni kweli CCM mmeridhika na hali hii ya maisha?

yutong

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
1,601
338
Hii ndo hali halisi na hapo ni kwa madaktari tu lakini sehemu zote ndo ilivyo tukianzia kwa walimu, polisi, nk. Bora hata polisi wanapanda daladala bure, Na walimu je?
 
Attachments

  • 524105_425584987484903_138452275_n.jpg
    524105_425584987484903_138452275_n.jpg
    100.4 KB · Views: 66
Gharama ya kuandaa daktari mmoja ni Tshs 30,000,000/= wakati mwalimu mmoja anaandaliwa kwa 3,000/= na polisi mmoja kwa 3/=. Kama tumefukuza madaktari wa 30,000,000/=, wajaribu kusema hao mapolisi wa 3/= waone.
"LIWALO NA LIWE"
 
...The End of the Road..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom