Mamlaka ya Rais | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mamlaka ya Rais

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by yutong, Jul 20, 2011.

 1. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Utaratibu huu wa uteuzi wa makatibu wakuu wa wizara na viongozi wengine wa serikali uliopo sasa hivi unaturudisha nyuma sana. Yahani jinsi ilivyo sasa kila kitu kinasubiri maamuzi ya rais, kweli ni haki hii? kila kitu rais tu jamani? Ah amejirudinkia madaraka makubwa mno na hapo kweli kunahaja ya kurekebisha katiba yetu ili japo bunge ama waziri mkuu wawe na mamlaka zaidi ya rais hasa ktk uteuzi wa watendaji mbalimbali wa serikali. WanaJF mnasemaje hapo? Mnasadiki?
   
 2. M

  MORIA JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Naunga mkono hoja..,rais wetu amerundikiwa madaraka kupita....,ila hili ccm wataliona baada ya kuanguka
   
 3. A

  AlamaZA NYAKATI JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 274
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  katiba yetu hopeless........rais anatakiwa kuondolewa madaraka mengi sana
   
 4. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Dawa ipo tunayo, ni kuandika katiba mpya, tena wala tusione aibu just copy and paste katiba ya Kenya na kurekebisha mambo kidogo tu, hivyo kilichokuwa kinatakiwa sasa hivi ni kuipitia katiba ya kenya na kuchukua yote yanayotufaa na kuyaacha yasiyotufaa au kuongezea yaliyopungua. Hapo tutaepuka gharama na mda, hawa waliopo madarakani sasa hivi wanachofanya ni delaying tacts kwa ajili ya manufaa yao na siyo kwa manufaa ya Watanzania, tuamke jamanai tumwombe MUNGU atusaidie nchi itoke mikononi mwa wa koloni wazawa.
   
Loading...