Mabasi haya mnayakumbuka?

yutong

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
1,601
338
Basi leo ngoja niwarudishe enzi za 1980's na 1990's wakati huo nchi ikiwa haijauzwa. Palikuwa na mabasi ya Layland CD wakati huo Scania ndo dili. Mnakumbuka Mabasi haya?

Igesa Line
Kwacha
Safina
Gold Line
Widambe
Mwaafrika
Makete
Siri Yako
Super Star
Railway
Kamata
Bin Klebo Bus Service
Kiswele
Sharuks
Air Msae
Air Chalinze
No Challenge
Air Shengena
Zainab
Scandnavia
Special Video Coach
Tawaqal
Comfort Video Coach
Living Light
Yarabi Salama
Safari Master
Big Mayai
Jupiter
Mbarak
Ruvuma Tours Line
Matema Beach Coach

Unakumbuka nini hapo?
 
Hapo nakumbuka kuna basi moja la Safina lilipata ajali mbaya sana mto Karanga Moshi......sikumbuki lilikuwa linaenda wapi.....Hiyo Air Msae a.k.a Kilimanjaro Bus......nalo lilikuwa lina tabia ya kuchinja watu sana njia ya Arusha, Moshi, Dar.......Scandinavia bana lilivyoingia ulikuwa ukilipanda unaonekana upo matawi ya mbali sana......dah......mabasi mengi nadhani yamebadilishwa majina kutokana na utovu wa nidhamu.....tunasubiri jina jipya la Sumry
 
Karibu mabasi yote uliyoyataja yaliishia hivi.........





Ikiwa ni pamoja na kuua watu wengi sana wasio na hatia.
 
Igesa Line
Kwacha
Safina
Widambe
Makete

Haya mabasi wakati yanaanza kuwika nilikwepo Iringa miaka ya 1989. kabla ya hapo kulikuwa na yale mabasi ya zamani ya carrier juu, Yalipokuja haya ndo ilikuwa hizi new model za mizigo inakaa chini tukiyaita MKATE. we acha makonda na madereva wa hayo mabasi waliwatafuna mabinti kule Iringa, maana demu akipanda mle lilivyo tu achomoiiiiiii hahahahaha
 
Back
Top Bottom