Maumivu ya shingo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maumivu ya shingo

Discussion in 'JF Doctor' started by yutong, Jul 30, 2011.

 1. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Habari zenu madr wa jf! Mimi nasumbuliwa sana na maumivu ya shingo sehemu ya nyuma yahani kuanziwa kwenye kisogo mpaka sehemu za mabega. Je tatizo itakuwa nini? Na je kuna tiba yoyote naweza pata? Asenteni sana wakuu
   
 2. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Jamani madr. mpo?
   
 3. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Kuna matatizo mengine ni ya kwenda hospitali tu ukapata utatuzi...tutakuja ulizana mpaka mafua hapa!

  Samahani kama nimekukera lakini hii forum hai'substitute' hospitali...sidhani lengo la hii forum ni kuambiana sentensi mbili mtu unajiskiaje then uambiwe tiba and thats it. JF Doctor is more than that.

  Nenda kamuone daktri ndugu yangu.
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  pole yutong, labda kichwa na mabega ni vya kichina (nakutania,lol)
  pole sana. kama umeenda hosp na kucheki kama huna malaria na vitu kama hivyo inawezekana tatizo linatokana na stress pia. otherwise inaweza kuwa related na kazi unayofanya (ergonomics), au godoro na mto unaolalia! last wk nilikuwa na mtaalamu mmoja akawa ananiambia shelf life (expiry ) za magodoro ya aina na quality mbalimbali! nilishangaa how i related to it!

   
 5. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #5
  Aug 1, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,004
  Likes Received: 3,189
  Trophy Points: 280
  Jaribu kulalia magodoro ya yule mrembo, vita kisura.
   
 6. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #6
  Aug 1, 2011
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kwa ushauri na matibabu ya uhakika tafadhali wahi hospitali iliyo karibu na wewe.
   
 7. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #7
  Aug 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,046
  Likes Received: 6,492
  Trophy Points: 280
  Kamwone Dr. unaweza ukawa na bp, last week nilipata tatizo kama hilo, nilishindwa hata kugeuka, but mimi nilitumia mkorogo wa kitunguu saumu, asali na mlonge kwa kweli baada ya siku 3 nikawa fit, sasa nasikia maumivu kwa mbali sana; wakati unafuatilia dr. fanya mkorogo huo kama juisi yako.
   
Loading...