CCM INAMTAFUTA MCHAWI.
Ukisikiliza hotuba ya Rais wakati akipokea Report ya CAG unaona CCM ilivyochoka akili mpaka Mh.Rais anataka kulia machozi kabla ya kutafakali kauli Rais Samia kwanza turudi kwa Mwl.Julius Kambarage Nyerere kama kiongozi aliyekandamiza demokrasia kutokana na uamuzi wa...
**BUKOBA
Baadhi ya wakazi wa Mtaa Mafumbo na Rwome Kata Kashai Maniapaa ya Bukoba Mkoani Kagera wameendelea kuteseka na umeme maana msimu wa senene mwaka huu baada ya furaha imegeuka kuwa karaha.
Wachuuzi wa senene wa usiku wanafunga taa zao za senene ili kujitafutia kipato chao ili kupata...
Mto KANONI una historia yake ambayo kama watawala wangeamua kuifuatilia uenda ufumbuzi wa kudumu ungeishapatikana tumeshuhudia kila nyakati za masika watu wanahama kutoka Omukigusha kwenda maeneo mengine kupisha maji ambayo yamekuwa yakijaa kwenye majumba ya watu, kuziba njia za kupita na...
Wabunge wasiojua majukumu yao yaani kazi kupiga makofi na kupitisha makablasha bila kusoma wanapitisha nini wabunge waasi kwa wananchi wanaofunga ndoa na serikali kuwabagaza wananchi.
Ninyi wabunge njoo mniambie majukumu yenu Je ni kutetea serikali? Mnajua maana ya uakilishi? Je, sheria...
Awa ni watu waliokataa mapendekezo ya wananchi juu ya utunzaji wa mazingira nchini katika kipindi chao tumeshuhudia matumizi ya kuni na mkaa yakiongezeka kwa kasi uku matumizi ya umeme asa majumbani yakipungua kutokana na bei ya umeme (bill) kuwa juu na umeme kubaki kuwasha taa na kunyoosha...
Ndugu zangu siku zote uwa nawauliza mnaotaka tuombee DRC mnataka tuombee nini? Wengi wenu ukimbilia kuombe amani uwa nauliza sababu za kutokuwepo kwa Amani mnazijua?
Leo nataka kuwasaidia mnaotaka kumsumbua Mungu kwa maombi ya makelele miaka yote ukiona Wazungu wanakuunga mkono katika uharifu...
Vijana nguvu ya mabadiliko dunuani
Kuna kazi ya kutumia nguvu kubeba viroba vya unga na mahindi vyenye uzito wa 100kg kwa Bakhresa kwa siku wanalipa elfu 10, ila unalipwa kila baada ya wiki. Kula na nauli unajitegemea, ukipiga hesabu hapo kuanzia nauli Tsh. 1, 500/+maji Tsh. 1, 000/+Chai 1...
Hili shirika linaendeshwa kisiasa hali inayopelekea tulione genge la CCM.
Tangu 2004 mpaka sasa ni miaka 19 inakaribia 20 bado kuna vijiji havina umeme kabisa sasa mtaanzaje vitongoji wakati vijiji vingine havijawahi kufikiwa na umeme? Mmebuni teknolojia gani ya kufikisha umeme kwenye Vitongoji...
TLS tumewasikia japo nia yao ya kukutana na Rais bado iko pale, LHRC tumewasikia chini ya Anna Henga, Amnesy tumewasikia jumuhia pana ya kimataifa tumeisikia wote wanalaani kukamatwa na kufunguliwa shitaka la UHAINI kwa AD. Mwabukusi, Mwanahakati Mdude na Dr.Slaa pamoja na Adv.Peter Madeleka...
Maonyesho ya kilimo 2023 yamehitishwa jana nimeshuhudia mazao kadhaa yakipigiwa chapuo kama ilivyokuwa nyuma kwa zao la Vanilla tuliaminishwa bei mpaka Tsh.100, 000/@ lakini mwaka huu imenunuliwa bei sawa na bure Tsh.3, 000/@ wakulima wameamua kutokuirudisha nyumbani maana matumaini ya kupata...
Kwa mujibu wa taarifa ya Tamisemi 2014 Tanzania bara ina jumla ya mitaa 3, 741
Vijiji 12, 423
Vitongoji 64, 616 ukijumlisha vyote unapata jumla 80, 780 idadi hii nisawa na wenyeviti wa mitaa, vijiji na vitongoji kama kutakuwepo na utashi wa kisiasa tukaamua wenyeviti awa kuwalipa mishahara Tsh...
Leo naandika kwa masikitiko makubwa sana baada ya Wakulima wa Vanilla Mkoani Kagera kulia kilio cha samaki na machozi yao kuondoshwa na maji.
Nimepitia maeneo tofauti tofauti mkoani Kagera nimekutana na wakulima wengi waliong'oa mikahawa baada ya anguko la bei na kupanda Vanilla leo vanilla...
Kama kichwa kilivyo yaani hii ni zaidi ya hatari, Mkulima ni chombo cha kudharauliwa nchini. Serikali ilitangaza bei ya soko Tsh. 15, 000/ lakini wanunuzi wanalipa Tsh. 3,000/ (elfu tatu)kwa kilo moja na kwakua Vanilla hailiwi kama chakula inabidi wauze vyovyote ili kuondoa mzigo ndani.
Ni...
Narudi tena kwenu wanajamvi kutaka kupata connection ya SOKO LA VANNILLA mbichi na kavu.
Kagera tuna kilio kikubwa VANILLA imekosa wanunuzi wakulima wanapoteza matumaini kabisa mwaka huu ikumbukwe ata mwaka jana VANILLA ilishuka toka Tsh.70, 000/@1kg hadi Tsh.30, 000/@1kg hali hii ilitokana na...
Hali ya wakulima wa Vanilla inatisha Kyerwa, Karagwe na Bukoba vijijini leo nimepata taarifa kuwa wakulima wameanza kung,oa zao hili kutokana na ukosefu wa wanunuzi nimeambiwa mwaka jana waliuza kilo moja kwa Tsh.25, 000/ mwaka huu hakuna wanunuzi kabisa ata aliyejitokeza anataka kununua kilo...
Mkataba ulifichwa walitaka tusijue lakini Mungu akaufichua haraka wakasema ni feki tukawadai mkataba original wakaleta ule walioita feki, tukasema hauna ukomo wa muda wakasema tunapotosha Waziri Makame Mbarawa akasema ukomo ni mpaka shughli za bandari zikiisha wakadai hawataki maoni tukawabana...
Pato la mtu mmoja mmoja kwa mwanaKagera bado ni kizungumkuti elimu kwa wakulima, wafugaji na wajasiriamali ni kuhimu sana wataalamu wetu mnafanya nini kwenye maeneo yenu? Mnawashauri vipi wakulima na wafugaji ili wabadili kilimo mazoea waende kilimo biashara? Kwanini kulazimisha zao lisilostawi...
Nchi hii hovyo sana mnaangaika na wakosoaji wa serikali, vyombo vya ulinzi na usalama vinatafuta wakosoaji wa CCM na mwenyekiti wake lakini taarifa za mawaziri majizi, makatibu wakuu wezi, wakurugenzi wezi hazifanyiwi kazi.
Kuna haja gani kuamini vyombo hivi?
Good morning.
MABORESHO YA ELIMU BILA WALIMU[emoji1787]
Kinachotushinda nini! Nimatumizi mazuri ya akili. Sioni sababu ya kuagiza mitungi hii India na china? Ni kukosa ubunifu na Elimu mbovu inayotolewa nchini inayomfanya kijana kuwa tegemezi anasoma ili afaulu mitihani na kuajiriwa ajira pekee...
Mimepitia na kufanya uchambuzi katika rasimu ya mtaala wa elimu iliyotangazwa na Waziri wa Elimu inahitaji marekebisho kabla ya kupitishwa rasmi na kuwa mtaala unaofaa. Ni muhimu kuondoa kabisa mambo ya dini yanayoweza kusababisha machafuko. Nakumbuka mwaka 2014 tulipopendekeza kuondolewa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.