Afrika uwanja wa mapambo, Vijana acha kutumika kuua ndugu zenu

ichumu lya

JF-Expert Member
Aug 11, 2016
2,605
2,729
Ndugu zangu siku zote uwa nawauliza mnaotaka tuombee DRC mnataka tuombee nini? Wengi wenu ukimbilia kuombe amani uwa nauliza sababu za kutokuwepo kwa Amani mnazijua?

Leo nataka kuwasaidia mnaotaka kumsumbua Mungu kwa maombi ya makelele miaka yote ukiona Wazungu wanakuunga mkono katika uharifu jua wao wananufaika na uharifu wako kuliko wewe.

DRC imekuwa ivi ilivyo kutokana na viongozi wapumbavu wanaowasaidia wazungu kuua wananchi kwa kupanga vita ya wenye kwa wenyewe ili wao waibe mala za Congo kwa mgongo wa mashirika ya kimataifa. Ushahidi upo, UN ni shirika la kijasusi ni kundi hovu duniani asa ukanda wa Afrika linalotumika kuiba mali za Afrika na kuzipeleka Ulaya lakini linasaidiwa na ndugu zetu Waafrika wapumbavu kufanikisha uharamu huu. Ona
Gari la UN nchini Congo DR lilipita na kugundua kuwa lilikuwa na madini

Swali ni je hii ina muda gani? Mtu mweusi amka kwanini mnapigana wenyewe kwa wenyewe. Unapopigana vita vilivyoanzishwa na walinzi bandia wako unakuwa umesaidia mashirika yao kupora rasilimali zako.

Miaka yote wanabeba Dhahabu kutoka Congo wanakuja na mahidi tena yasiyo na ubora wanaondoka na Dhahabu bora. Wanatuletea siraha tuuwane wao wanaondoka na almasi Waafrica, Wakongo, Watanzania, Waganda, Wanyarwanda, Wakenya na Warundi amka tafadhali tukoe Africa toka kwenye usingizi awa viongizi wetu wanatuuza kwa Wazungu tunaishia kumalizana.

Nasema amka wacha kulala saa ya ukombozi imefika yaani gari limebeba dhahabu limeanguka zimetapakaa bado mwananchi anashangaa wakati dereva na walinzi wamekufa? Huu ni zaidi ya usingizi.

Kama unavyoona Ngorongoro na Wamasai yaani askari anaua ndugu yake ili Mwarabu anufaike na ardhi yetu.
Vijana wanapigania DPWorld ili wapate kipande cha mkate ili Waarabu wachukue bandari zetu bure muda utasikia Tanzania kuna mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kisa Waarabu wametuchonganisha ukiuliza machawa mnanufaikaje na uwekezaji wa Ngorongoro na Bandari zetu sanasana wamehaidiwa vigari na vijisenti ama teuzi.

Ndugu zangu mnaojiandaa kupigana na ndugu zenu mnasaidia maadui kubeba raslimali zetu na ninyi matakufa katika uovu kama Rais Mobutu leo ukifika kijijini kwake ndio utajua Wazungu na Waarabu mnaowasaidia walivyowajinga wanawatumia kama kondomu na kuwatupa baada ya matumizi.

IMG-20230915-WA0006.jpg
 
Ndugu zangu siku zote uwa nawauliza mnaotaka tuombee DRC mnataka tuombee nini? Wengi wenu ukimbilia kuombe amani uwa nauliza sababu za kutokuwepo kwa Amani mnazijua?
Leo nataka kuwasaidia mnaotaka kumsumbua Mungu kwa maombi ya makelele miaka yote ukiona Wazungu wanakuunga mkono katika uharifu jua wao wananufaika na uharifu wako kuliko wewe.
DRC imekuwa ivi ilivyo kutokana na viongozi wapumbavu wanaowasaidia wazungu kuua wananchi kwa kupanga vita ya wenye kwa wenyewe ili wao waibe mala za Congo kwa mgongo wa mashirika ya kimataifa. Ushahidi upo, UN ni shirika la kijasusi ni kundi hovu duniani asa ukanda wa Africa linalotumika kuiba mali za Afrika na kuzipeleka Ulaya lakini linasaidiwa na ndugu zetu Waafrika wapumbavu kufanikisha uharamu huu. Ona
Gari la UN nchini Congo DR lilipita na kugundua kuwa lilikuwa na madini

Swali ni je hii ina muda gani? Mtu mweusi amka kwanini mnapigana wenyewe kwa wenyewe. Unapopigana vita vilivyoanzishwa na walinzi bandia wako unakuwa umesaidia mashirika yao kupora rasilimali zako.

Miaka yote wanabeba Dhahabu kutoka Congo wanakuja na mahidi tena yasiyo na ubora wanaondoka na Dhahabu bora. Wanatuletea siraha tuuwane wao wanaondoka na almasi Waafrica, Wakongo, Watanzania, Waganda, Wanyarwanda, Wakenya na Warundi amka tafadhali tukoe Africa toka kwenye usingizi awa viongizi wetu wanatuuza kwa Wazungu tunaishia kumalizana. Nasema amka wacha kulala saa ya ukombozi imefika yaani gari limebeba dhahabu limeanguka zimetapakaa bado mwananchi anashangaa wakati dereva na walinzi wamekufa? Huu ni zaidi ya usingizi.

Kama unavyoona Ngorongoro na Wamasai yaani askari anaua ndugu yake ili Mwarabu anufaike na ardhi yetu.
Vijana wanapigania DPWorld ili wapate kipande cha mkate ili Waarabu wachukue bandari zetu bure muda utasikia Tanzania kuna mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kisa Waarabu wametuchonganisha ukiuliza machawa mnanufaikaje na uwekezaji wa Ngorongoro na Bandari zetu sanasana wamehaidiwa vigari na vijisenti ama teuzi. Ndugu zangu mnaojiandaa kupigana na ndugu zenu mnasaidia maadui kubeba raslimali zetu na ninyi matakufa katika uovu kama Rais Mobutu leo ukifika kijijini kwake ndio utajua Wazungu na Waarabu mnaowasaidia walivyowajinga wanawatumia kama kondomu na kuwatupa baada ya matumizi.View attachment 2749749
Mods tafadhali apo kwenye heading nilitaka kuandika MAPAMBANO si MAPAMBO iweke sawa tafadhali.
 
wewe umeamkaje kwanza,
tukutane wap sasa tulianzishe au humuhumu jukwaani tubweke bweke weeeee na mwishowe tudandie hoja nyingine 😳
 
Back
Top Bottom