Kuna haja gani kutoa taarifa katika vyombo vyetu vya ulinzi na usalama?

ichumu lya

JF-Expert Member
Aug 11, 2016
2,605
2,729
Nchi hii hovyo sana mnaangaika na wakosoaji wa serikali, vyombo vya ulinzi na usalama vinatafuta wakosoaji wa CCM na mwenyekiti wake lakini taarifa za mawaziri majizi, makatibu wakuu wezi, wakurugenzi wezi hazifanyiwi kazi.

Kuna haja gani kuamini vyombo hivi?
IMG-20230423-WA0010.jpg
 
Uzi tayari.
Nchi hii hovyo sana mnaangaika na wakosoaji wa serikali, vyombo vya ulinzi na usalaam vinatafuta wakosoaji wa Ccm na mwenyekiti wake lakini taarifa za mawaziri majizi, makatibu wakuu wezi, wakurugenzi wezi hazifanyiwi kazi. Kuna haja gani kuamini vyombo hivi?View attachment 2629962
Kwenye kamusi ya CCM hawana neno mwizi,fisadi wala mla rushwa.Ukiwatajia wanashangaa sana kama wanaangalia nyumba inaungua.
 
Back
Top Bottom