Ujenzi wa njia nne Bukoba uendane na mitaro na kingo za mto kanoni

ichumu lya

JF-Expert Member
Aug 11, 2016
2,605
2,729
Mto KANONI una historia yake ambayo kama watawala wangeamua kuifuatilia uenda ufumbuzi wa kudumu ungeishapatikana tumeshuhudia kila nyakati za masika watu wanahama kutoka Omukigusha kwenda maeneo mengine kupisha maji ambayo yamekuwa yakijaa kwenye majumba ya watu, kuziba njia za kupita na kusababisha hasara kwa wakazi wa Omukigusha na maeneo jirani hii ni kutokana na wanasiasa kushindwa kuwabana wataalamu ili wasimamie sheria ya mazingira.

Mto KANONI umebanwa, haupumui, ujenzi usiozingatia sheria.
SHERIA YA USIMAMIZI WA MAZINGIRA YA
MWAKA 2004
(NA.20 YA 2004)

Sheria iko wazi imejitoshereza imeelekeza namna ya kujenga karibu na vyanzo vya maji kama sheria hii ingefuatwa tusingekuwa tunaangaika na mto KANONI lakini usimamizi mbovu wa sheria unatughalimu na kutengeneza ajenda isiyo na mwisho.

Kuanzia Rwamishenye mto unapoibukia mpaka Miembeni unapomwaga maji yake ziwani watu walijenga kwa kuubana mto mpaka tunajiuliza ivi Bukoba kuna ofisi/wataalamu wa mazingira? Je Mkurugenzi ana wataalamu wa mipango mji? Je wenyeviti wa mitaa na madiwani wao wanaishi kwenye maeneo aya? Je waliojenga walipewa vibari? Kama ilikuwa kabla ya vibari je kuanzia mwaka 2004 mpaka leo miaka 19 zimejengwa nyumba ngapi kwa kukiuka sheria ya mazingira?

Je, wajenzi wako juu ya sheria?

Sishangai kuona chama Tawala kinajitokeza kusafisha mto kanoni maana wao ndio wasimamizi wa serikali iliyoshindwa kusimamia sheria hizi mbwembwe za kuitana na kuanza kusafisha mto na sare za CCM mnadhani mnafanya usamalia lakini hizi ni siasa za zamani maana nyie ndio chanzo cha tatizo la mto kujaa.

Nasikia kuna fedha za mradi wa TACTIC sisi Bukoba tuko kundi "B" lenye miji 15 mpaka sasa sijaona maandalizi yoyote ama kuandaa watu kisaikolojia (waliojenga kwenye mto KANONI)nasema sijaona watu wakiandaliwa ili kupisha mradi ama kujua kama wanalipwa ama wanatoka bure ama wanapewa viwanja ama maeneo mengine lakini pia ata wapangaji bao hawajui itakuwaje mimi sijui taratibu na sio mimi tu najua wapo wengi wangependa kujua isijekutokea bomoa bomoa ya ghafla na kusababisha vilio na vifo vya ghafla.

Busara kubwa itumike kuhakikisha tatizo hili kubwa la mto KANONI linaisha na watu wanaondolewa hofu na mji unatulia.

Mwisho kwa leo mfumo wa maji machafu na maji ya mvua sio mzuri kabisa mitaro ni mifinyu hairuhusu maji kuondoka kwa urahisi na kusababisha maji kujaa barabarani hili likiangaliwa kwa jicho pana litaondoa uchafu(tope) katikati ya mji na hali ya kamji ketu itavutia zaidi. Kwa upande wa NHC awa majengo yao ni chakavu washauliwe kukarabati majengo yao lakini pia wawe na mipango ya kujenga majengo ya kisasa sio aya ya kikoloni ili kusaidia upatikanaji wa vyumba vya biashara na kumpunguzia mfanya biashara mzigo wa kodi kubwa zinazotozwa na wamiliki wa nyumba apa mjini lakini pia kuondoa ukiritimba wa kutaka wapangaji kulazimishwa kulipa kodi ya mwaka mzima.

NHC wao uchukua kodi ya mwezi mmoja na kumwacha mfanyabiashara hizo pesa ambazo angelipa kwa mwaka azitumie kuzungusha na kundelea kwa njia hii mitaji itakua kodi zitaongezeka na huduma za kijamii zitaboreshwa.

@katikabakamaView attachment 2821594

Screenshot_20231122-110529.jpg
 
Mkuu mji wenyewe wa bukoba umebanana sana hapo mjini,ni vyema ukahamishwa kabisa uende hata katoma huko.
 
View attachment 2821595
Mkuu wasalimie hapo Rwamishenye .

Ukimuona na Mjuni kimana mwambie namkumbuka sana rafiki yangu.
 
I hope wataijenga vzr hio barabara...maana hela inayotumika ni kubwa na wamepewa mwaka mzima km 1.6 ili wasilipue...

I hope na ujenzi wa stendi umefikia pazr
 
Mkuu mji wenyewe wa bukoba umebanana sana hapo mjini,ni vyema ukahamishwa kabisa uende hata katoma huko.
Acha ubane hivyo hivyo...hii inachochea ujenzi wa maghorofa...lile eneo la mjini kati linabidi liwe na maghorofa tu...na yajenngwe vzr kuhimili matetemeko...

Ndo maana shule mpya zinazojengwa eneo hilo ni maghorofa tu mfano shule ya jaffery...

Hata hio hospital ya mkoa naskia itavunjwa ijengwe maghorofa tu...

The future of Bukoba is bright
 
Hakika itapendeza,ila ujuaji na kukwamishana uishe bukoba mji ukue usonge mbele,turuhusu pia wageni mana ardhi imekua ni anasa kwa mgeni kumiliki.
 
Back
Top Bottom