Bei ya Vanilla yaporomoka kwa kasi Mkoani Kagera, sasa kilo ni Tsh. 3,000

ichumu lya

JF-Expert Member
Aug 11, 2016
2,605
2,729
Kama kichwa kilivyo yaani hii ni zaidi ya hatari, Mkulima ni chombo cha kudharauliwa nchini. Serikali ilitangaza bei ya soko Tsh. 15, 000/ lakini wanunuzi wanalipa Tsh. 3,000/ (elfu tatu)kwa kilo moja na kwakua Vanilla hailiwi kama chakula inabidi wauze vyovyote ili kuondoa mzigo ndani.

Ni aibu kwa serikali, niaibu kwa CCM na aibubu kwa Wabunge wote wa mkoa wa Kagera, wananchi amkeni hamna watetezi ni mwendo wa kupigania matumbo yao.

Haya yanafanyika huku uongozi wa mkoa upo, Usalama wa Taifa upo na uhuni unafanyika mchana kweupe.

IMG_20230718_111923_688.jpg
 
Apo kabla hujafikia serikali tuanze na mkulima mwenyewe mpaka inafika iyo bei kuna walio kubali kuuza bei ya chini na msimamo apo tunaona umuhimu wa kuwa na Amcos
 
Kama kichwa kilivyo yaani hii nizaidi ya hatari Mkulima ni chombo cha kudharauliwa nchini. Serikali ilitangaza bei ya soko Tsh.15, 000/ lakini wanunuzi wanalipa Tsh.3, 000/(elfu tatu)kwa kilo moja na kwakua VANILLA hailiwi kama chakula inabidi wauze vyovyote ili kuondoa mzigo ndani. Ni aibu kwa serikali, niaibu kwa CCM na aibubu kwa Wabunge wote wa mkoa wa Kagera, wananchi amkeni hamna watetezi ni mwendo wa kupigania matumbo yao.

Aya yanafanyika uku uongozi wa mkoa upo, Usalama wa Taifa upo na uhuni unafanyika mchana kweupe.View attachment 2691984View attachment 2691983
Waliosemaga kilo ya vanilla ni 1m
Kiko wapi sasa

Humble African Njoo utupe ABC
 
Kama kichwa kilivyo yaani hii nizaidi ya hatari Mkulima ni chombo cha kudharauliwa nchini. Serikali ilitangaza bei ya soko Tsh.15, 000/ lakini wanunuzi wanalipa Tsh.3, 000/(elfu tatu)kwa kilo moja na kwakua VANILLA hailiwi kama chakula inabidi wauze vyovyote ili kuondoa mzigo ndani. Ni aibu kwa serikali, niaibu kwa CCM na aibubu kwa Wabunge wote wa mkoa wa Kagera, wananchi amkeni hamna watetezi ni mwendo wa kupigania matumbo yao.

Aya yanafanyika uku uongozi wa mkoa upo, Usalama wa Taifa upo na uhuni unafanyika mchana kweupe.View attachment 2691984View attachment 2691983
Bei ya vanilla kwa kilo hapa ujerumani ni 320€ ambayo ni sawa na laki nane na zaidi Tzs. Hapo kwa kweli mkulima wa Tz amedharauliwa kama siyo kuonekana hana maana
 
Kama kichwa kilivyo yaani hii ni zaidi ya hatari, Mkulima ni chombo cha kudharauliwa nchini. Serikali ilitangaza bei ya soko Tsh. 15, 000/
Ilitangaza hio bei kwa vigezo gani ?
lakini wanunuzi wanalipa Tsh. 3,000/ (elfu tatu)kwa kilo moja na kwakua Vanilla hailiwi kama chakula inabidi wauze vyovyote ili kuondoa mzigo ndani.
Supply and demand has been tested again and again; Price planning ilishajaribiwa sana na matokeo yake huwa mabaya...; wengi walijaribu kupanga bei ya vitu ila mwisho wa siku inashindikana unless wewe unajua bei sehemu nyingine au soko la ulaya ni kiasi gani ila mara nyingi bei ya soko ndio bei sahihi kwa wakati huo
Ni aibu kwa serikali, niaibu kwa CCM na aibubu kwa Wabunge wote wa mkoa wa Kagera, wananchi amkeni hamna watetezi ni mwendo wa kupigania matumbo yao.

Aya yanafanyika huku uongozi wa mkoa upo, Usalama wa Taifa upo na uhuni unafanyika mchana kweupe.
Sasa unataka wainunue kwa kodi zetu / ruzuku ili waende kuiuza pengine kwa faida au waitunze kusubiri bei ipande au kuoza ?

Anyway haya ni makosa ya wizara ya kilimo na biashara kwa kutokutafuta masoko na kutoa ushauri unaoeleweka as well as wakulima kukimbia kulima the next big thing badala ya kujikita kwenye wanacholima kwa ustadi zaidi ili ku-maintain quality na long term customers
 
Back
Top Bottom