ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,605
- 2,729
**BUKOBA
Baadhi ya wakazi wa Mtaa Mafumbo na Rwome Kata Kashai Maniapaa ya Bukoba Mkoani Kagera wameendelea kuteseka na umeme maana msimu wa senene mwaka huu baada ya furaha imegeuka kuwa karaha.
Wachuuzi wa senene wa usiku wanafunga taa zao za senene ili kujitafutia kipato chao ili kupata riziki lakini jambo hili limekuwa tatizo pale wanapo washa taa usiku umeme unakatika kwa takribani siku tano mfululizo na tanesco wakipewa taarifa wanafika na kurekebisha kesho yake jioni majira ya saa kumi watu wanalala kwenye giza mpaka kunakucha.
Siku ya leo ni J.pili 26/11/2023 jioni Tanesco wamefunga Transfoma nyingine ambayo wananchi wameona inaweza kuwa msaada kwao kuwanusuru kwenye kiza ili waendelee kunufaika na nishati maana usiku ndo inakuwa na umuhimu mkubwa majumbani na wachuuzi wa senene walipo wameendelea na kazi yao walipo washa taa zao majira ya saa moja usiku umeme umekatika tena.na mdaa huu saa tatu na nusu wapo emergency kwenye Transfoma ya kashai wanarekebisha.
Ombi kwa Tanesco kuna Baadhi ya wananchi ambao wanaumia kutokana na taa za senene maana wachuuzi hao wapo karibu na makazi ya watu jambo ambalo limegeuka kuwa kitendawili kwao wanajiuliza Tanesco mko wapi???Au mseme mmekwama wapi kutatua ili tatizo serikali iweze ongeza nguvu kusahidia. Hapo mmapokwama kutatua tatizo ilo moja kwa moja au muwatangazie wafunga senene wasifunge nilieandika napoishi umeme upo unawaka.tatizo ni nini mpaka mda huu giza.
Maana Senene Bukoba ni furusa sio mateso @255789401440
(1) WANANCHI. (2) SENENE.
au vyote kwa pamoja?
By_Bashabi*
Kama nilivyoipokea toka kwa mkazi wa Mtaa wa Mafumbo Kata Kashai Bukoba Manispaa.
TANESCO