Search results

  1. Love Doctor

    Mchele kahama

    Habari ndugu Kwa kahama mashine bei ya mchele ikoje huko asaivi Kama kuna ndugu anafanya biashara hapo tuwasiliane i wish kuja huko next week kuona namna mzunguko wa mchele huko ulivyo au kama kuna mtu ana mchele mwingi na mzuri tufanye biashara
  2. Love Doctor

    Vifungashio vya nafaka

    Habari ndugu kwa wenye uzoefu kuhusu vifungashio vya nafaka mfano mchele kupaki kwenye lebo kuanzia 5kg na kuendelea gharama yake ikoje kwa kila mfuko na nembo
  3. Love Doctor

    Njia salama ya kubana uke

    Njia Salama na Asilia ya Kubana Uke Uzazi na afya ya uzazi ni sehemu muhimu ya ustawi wa kila mwanamke. Kujua na kuelewa jinsi ya kutunza mwili wako kunaweza kuleta matokeo mazuri katika maisha yako ya kila siku. tutaangalia njia kadhaa za kuboresha afya ya uzazi na kujisikia vizuri bila...
  4. Love Doctor

    Rekebisha afya yako ya uzazi kwa lishe kamili

    REKEBISHA AFYA YA UZAZI, UBORA WA MBEGU, NGUVU ZA KIUME, HAMU YA TENDO, UUME KUWA Mdogo & KUONGEZA TESTOSTERONE. Kutokana na mtindo mbaya wa maisha uanaume umeshuka sana, mixer matrix, p0rn, vyakula vibaya, nyeto na stress vimefanya uwe dhaifu kwenye mechi. Mwaka 2024, Kula vyakula hivi 15...
  5. Love Doctor

    Kwanini binti yangu hawezi olewa na maskini

    KWANINI BINTI YANGU HAWEZI KUOLEWA NA MASIKINI KWA ELON MUSK. Elon Musk anaelezea kwa nini binti yake hawezi kuolewa na mtu maskini. Miaka michache iliyopita kulikuwa na kongamano nchini Marekani kuhusu uwekezaji na fedha. Mmoja wa wazungumzaji alikuwa Elon Musk na wakati wa kipindi cha...
  6. Love Doctor

    INAUZWA Nauza Mizani used

    Habari wakuu, Nauza mizani used ni nzito haina kipengele ina mawe yote Imethibitishwa na wakala wa vipimo Tanzania Ipo wilaya ya Hai 110k tu 0718569091
  7. Love Doctor

    Jogging club

    Habari ndugu zanguni Kuna yoyote aliye katika jogging club maneneo ya Hai, Sanya, Boma ngo'mbe au kikundi chochote cha mazoezi.
  8. Love Doctor

    Penzi langu

    Penzi langu Kama nikiyapa pesa, siku ikinisaliti? Sitaki kulipepesa, hii haitaji siti Sio yule wa madesa, kuyamwagiwa manoti Nimeridhi penzi langu, nalitoa kwa kalamu Nimliwazaji wangu, peke anayenisema Nimpaye tunu yangu, nikiwa nimeumia Ajua furaha yangu, hachoki kunisemea Nimeridhi penzi...
  9. Love Doctor

    Utunzi Jiko la shamba

    Mpe kijembe hiki ex wako au kibaraka yoyote Jiko La Shamba Kwangu huwezi kutamba, nimekutoa thamani Ewe mnukia vumba, hufai kuwa jikoni Bado unao ushamba, mapishiyo ya nyikani Wewe ni jiko la shamba, halipikii mjini Makozi na karatasi, kwako wewe zote kuni Hujui venye mikosi, vyote watia...
  10. Love Doctor

    Utunzi: Sauti ya mnyonge

    Pesa si matumaini yao Ni msukuma mkokoteni Tena na jua kali kichwani Pato lake sio ahueni Pesa si matumaini yao Ajabu mwajiriwa tajiri Na mwajiri wake ni fakiri Analipa, kipato swaghiri Pesa si matumaini yao Nao wakulima mashambani Na wakulima wabaharini Uhai wao uhatarini Pesa si matumaini...
  11. Love Doctor

    Hawa pesa si matumaini yao

    Pesa si matumaini yao Ni msukuma mkokoteni Tena na jua kali kichwani Pato lake sio ahueni Pesa si matumaini yao Ajabu mwajiriwa tajiri Na mwajiri wake ni fakiri Analipa, kipato swaghiri Pesa si matumaini yao Nao wakulima mashambani Na wakulima wabaharini Uhai wao uhatarini Pesa si matumaini...
  12. Love Doctor

    Wako wapi wakuamini vijana

    ATI HATUJIELEWI Hatujishughulishi Na mnatujaji Hatuna mitaji Nyie wafujaji Manayajaza matumbo yenu Mtumba mitumbani Tunalipa kodi Bila ukaidi Nyie mwafaidi Mazingira yetu bado duni Shamba ni mkombozi Mbolea zauzwa Mbegu zinauzwa Maji yanauzwa Bila pesa hakuna mavuno Ajira ni kubeti 1 kwa...
  13. Love Doctor

    Sijakusudia

    Sijakusudia 1 Sijakusudia Jama nimeua Sijakusudia Ila najutia Ninayo hatia Naombeni msaada 2 Jama nimeiba Sijakusudia Sikuliridhia Nipo na hatia Naomba nisamehewe 3 Jama nimebaka Kisa ni shakawa Sababu ya hawa Jama 'shapwelewa Kwa sasa niozesheni 4 Jama nimekaba Tendo la hadaa Sababu ni...
  14. Love Doctor

    Natafuta chimbo la mifuko ya kg 50 kwa bei ya 200 au 300

    Habari JF Natafuta chimbo la mifuko ya kg 50 kwa bei ya 200 au 300 Aina hii hapa chini Nipo moshi
  15. Love Doctor

    Namtaka Singo maza

    NAMTAKA SINGO MAZA 1 Nimehangaika sana, kuyatafuta mapenzi Niliowapa amana, hata hawakuienzi Nikapigwa dana dana, na kufanyiwa ushenzi Namtaka singo maza, ndie nitayemuoa 2 Aloumizwa ja mimi, huenda tukalandana Hatusikizi akwami, wawili tukipendana Tukuze wetu uchumi, mawazo kuliwazana Namtaka...
  16. Love Doctor

    Barua ya wazi

    BARUA YA WAZI 1 Nawasalimu kwa jina, jinale la jamhuri Kwako wewe kamishina, uigongae mihuri Wasimamizi wa shina, msome pasi kiburi Hii barua ya wazi, kwenu nyinyi viongozi 2 Upapo mwingi uhaba, wa ajira hapa nchini Sisi twajaza vibaba, viwango vyetu vichini Hatutaki vya kukaba, licha ya nguvu...
  17. Love Doctor

    Utunzi: Jiamini

    Jiamini 1. Na popote ukiwepo Usiwe kama libopo Usijione simpo 2. Yalo yako ujikite Mitihani uipite Hadi ukate upete 3. Usisikie uzushi Uyafanye kwa utashi Usiwe na nukusani 4. Tembea nenda na Mungu Atoae kwa mafungu Ajua wako uchungu 5. Na hawana utu watu Mpaka uwape kitu Nnasi hawana sukutu...
  18. Love Doctor

    Natafuta mashine za kushonea mifuko

    Habari, Naomba kujua zile mashine za kushonea mifuko ya safleti ukiwa una packaging unga za mkono zinauzwaje naweza kuzipata wapi.
  19. Love Doctor

    Wauza mchele, weka changamoto zenu hapa tusaidiane kuzitatua

    Habari wapambanaji na wote tuliokula kiapo cha kumtoa adui wetu nduli umasikini, Mimi ni mfanya biashara mdogo na mlanguzi wa mpunga na mchele hapa moshi. Changamoto yangu kwa sasa ni mzigo nimekuwa na mzunguko mdogo kias kutokana na connection yangu si kubwa, natamani saana ningepata mtu wa...
  20. Love Doctor

    SoC03 Mwanamke

    Mwanamke Sifa yake huruma Japo kuwa anauma Mjuvi wa tundama Kisha anavutia Machoni ukimtia Vito utampatia Ila ana nyuso mbili Akigeuka tumbili Usimjue awali Ana nyingi zake siri Tena ana umahiri Hujifanyia kiburi Pepo kwake rahisi Atapo ishinda nafsi Kapambwa na iblisi Ana mambo na...
Back
Top Bottom