mnyonge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Light Saber Imetosha Sasa

    JamiiForums Tanzania Walinzi wa Malango ya Mafanikio (Gatekeepers): Kwa nini Cheti cha Shule kisikufanye ujione mnyonge

    Katika safari ya maisha, kuna vitu tunaita "Gatekeepers" au walinzi wa malango. Hawa ni pamoja na Cheti cha Kuzaliwa, NIDA, na Vyeti vya Elimu. Wengi wetu tukikosa hicho cha mwisho (Cheti cha Elimu), tunaanza kukata tamaa na kujiona hatuna thamani ("Self-esteem" inashuka). Lakini ukweli ni upi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna haki yeyote duniani utapata kwa kujifanya mnyonge

    Dunia ni yawatu wenye nguvu hii UKijifanya mnyonge kwa kudai haki yako hupati zaidi utasingiziwa kesi ya ubakaji au kesi yeyote ili uzidi kuteseka Hakuna haki yeyote ambayo inapatikana duniani Iwe serekalini au kokote Kupata haki yako kwa kujifanya mnyonge ni vigumu mno Mathayo 25:29 Kwa...
  3. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Usijisikie mnyonge kwa ku-skip meals

    My people, Hii ni kwa watafutaji na wahangaikaji wote popote mlipo,endeleeni kupambana. Kwa watu ambao wana vipato vizur hawawezi kujua kwamba kuna watu ambao inabidi mida ya lunch time wakaushe kimya bila kula,sio kwamba hawapendi ila ni kwasababu hisabati hairuhusu kupata mlo wa mchana...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Saasisha Mafuwe: Rais Samia hajawahi kuwa mnyonge, ni shupavu kweli

    Wakati wa kujadili hotuba ya Rais Samia, Mbunge wa Jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro, Saasisha Mafuwe (CCM), akitoa taarifa Bungeni kuweka sawa kauli ya Mhe. Ester Bulaya (CCM) kauli ya ''Mnyonge mnyongeni na haki yake mpeni'' na kusema Rais Dkt Samia ni shupavu na hajawahi kuwa mnyonge.
  5. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Maisha ni maisha ndugu zangu, yani utachapika na maisha ukishakuwa mnyonge wa mtu, hakuna cha karma wala malipo, malipo ya unyenyekevu ni kubabaishwa

    Life is a bxxch and then you die.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mi ni mnyonge? Sielewi. Ninyonge ninyongeni haki yangu nipeni

    Nachanganyikiwa mnyonge ni mtu wa aina gani? Mgonjwa ama maskini? Kama mnyonge ni mgonjwa sasa hawa wagombea wanaojiita wanyonge tunachaguaje wagonjwa wasio na nguvu watutumikie? Watapata wapi nguvu ya kututumikia? na Taifa litaendeleaje? Kama mnyonge ni maskini kama mimi niambiwe maana...
  7. Tormenter

    JamiiForums Tanzania Hata kama inabidi wawe na mnyonge wao, basi hakikisha hauwi wewe

    Siku zote chora mstari wako wa uvumilivu unaokutosha.. Hakikisha hauvukwi, hata na yule anaejua unamuheshimu sana.. Huo ndio utakao amua, uwe Boss wa maisha yako, au mtumwa wa furaha za wengine.. Wakijua wanaweza kukufikia, wataanza kwa kukuonesha ulipo udhaifu wako.. Wakielewa...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeeni, haki yake mpeni- kwa mafanikio haya, Rais Samia umetutendea haki wakulima

    Katika zama ambapo kilimo kilionekana kama kazi ya kizamani isiyo na tija, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekuja na mtazamo mpya, ambao umegeuza kilimo kuwa fursa muhimu ya kibiashara. Sauti za wakulima ambazo kwa muda mrefu zilisikika kama kilio kisicho...
  9. msuyaeric

    JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeni - Kwa mafanikio haya, Rais Samia umetutendea haki wakulima

    Na, Kalamu ya Jenerali, Mbalali Katika zama ambapo kilimo kilionekana kama kazi ya kizamani isiyo na tija, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekuja na mtazamo mpya, ambao umegeuza kilimo kuwa fursa muhimu ya kibiashara. Sauti za wakulima ambazo kwa muda...
  10. Webabu

    JamiiForums Tanzania Ellon Musk aondoka ikulu ya Marekani akiwa mnyonge baada ya kutapeliwa na raisi Trump

    Raisi wa sasa wa Marekani ni mmoja ya watu hodari katika kutapeli ili kufanikisha mipango yake.Karibuni hivi baada ya Israel kushindwa kumuokoa mateka mwenye uraia wa Marekani raisi Trump aliwatapeli Hamas na kumpata raia huyo kirahisi kabisa.Tabia zake hizi ziliwanasa warembo wengi wa Marekani...
  11. Intelligent businessman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ewe jobless usijione mnyonge au kukosa furaha, ndugu zako tuko hapa

    Umoja huu ni kwa ajili ya ma jobless pro max wote.bila ya kujali umri, jinsia au hata uzoefu. Lengo ni kumpa nguvu jobless, kumpa moyo na hata ushauri juu ya yale anayo yapitia. amini usi amini, Kuna vyama vya kutetea na kusikiliza kero na matatizo ya familia, wafanya kazi, Wana michezo. ila...
  12. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa Ukakasi wa Kauli za RC Chalamila Mnyonge Mnyongeni Ila Haki Yake Mpeni, Waafrika Tunapenda Kulelewa Mpaka Imekuwa Ulemavu

    NCHI INAZAMA KWA KUKUMBATIA UJINGA Je, umewahi kujiuliza kwa nini nchi hii haipigi hatua licha ya kuwa na rasilimali, amani, na nafasi za kujikwamua? Sababu iko wazi: tunakumbatia ujinga na kusambaza mzigo wa maamuzi yetu mabaya kwa wengine. Mtu anataka kondomu afadhiliwe, akishindwa kuitumia...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Lissu mbona mnyonge sasa?

    Kila nikimuona kabla ya vikao vya chama alikuwa maneno mengi. Siku hizi tangu vikao vianze amekuwa bardiii sana. AU Anahofu ndio bye bye tena kukaa meza kuu ya CHADEMA? Zaidi ya miaka 20 aliokua anakaa?
  14. Magical power

    JamiiForums Tanzania Nimerejea Tena rasmi kuungana na wadau Ili nipate kuchangamka nisiwe mnyonge

    Nimerejea Tena rasmi kuungana na wadau baada ya kupata msiba Wa Binti YANGU,Ili nipate kuchangamka nisiwe mnyonge zaidi,mnipokee Tena ndugu zangu maisha mengine yaendeleee🙏🏽
  15. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Msiba wa Mafuru wa leo Karimjee sijaona mnyonge

    Leo hayati Mafuru aliagwa rasmi na kiongozi wa kuaga alikuwa Rais Samia Suluhu Hassan. Ukigeuka huku kuna Joseph Kusaga, ukitazama kule kuna GSM, ukishangaa shangaa kuna Mawaziri, ukiinuka kidogo kuna Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom, mara unamuona Jenerali Nkunda, kwa mbali unamuona CEO wa Kempinski...
  16. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Salamu kutoka Marekani: Nimejiona mnyonge kuona wadau wanavyotambulisha wapenzi wao

    Wakuu kama kawaida katika harakati tunakutana na wadau kwenye event mbalimbali. Nami leo nikashiriki tukio fulani hivyo lilikuwa na watu wengi sana. Mwisho ikawa utambulisho. Basi mtu anasimama anajitambulisha halafu unakuta anasema "Yule mrembo pale ni mke wangu nina miaka 20 tangu tuoane"...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Rais Samia ni msikivu, apewe maua yake. Vipi Serikali yake, Bunge na mahakama ni wasikivu? Kama sio inamanisha

    Wanabodi Kama kawa, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa, zenye swali, hoja na majibu utaweka mwenyewe. Hoja ya leo ni kuhusu usikivu wa Rais Samia, hakuna ubishi ni msikivu, vipi serikali yake, ni serikali sikivu? Bunge lake ni Bunge sikivu, na Mahakama...
  18. Rupia Marko D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kilio cha Mnyonge

    Kilio cha Mnyonge Nchini Tanzania Kilio cha mnyonge nchini Tanzania ni mada inayogusa nyoyo za wengi, ikihusisha changamoto na matatizo yanayowakumba watu wa kawaida katika jamii. Mnyonge, kwa maana ya mtu mwenye hali duni kiuchumi, kijamii, na kisiasa, anajikuta akikabiliwa na matatizo mengi...
  19. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Matumizi yako kwa siku ni sh. ngapi? Je, niko vizuri au mimi ni mwananchi mnyonge?

    Kwenda kazini natumia nauli ya 2000, kwenda 1000 kurudi 1000, asubuhi haiwezi kuzidi 1000 chai na harakati zingine, mchana hapa napiga sahani ya wali na nyama/dagaa/migebuka daily, ni 2000 nashushia na juice ya buku, kwa hiyo mchana jumla ni 3000, usiku ratiba yake ni kama mchana tu, 3000...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Haya ndio Majukumu ya January ya Mtanzania ambaye pia anajulikana kama Mnyonge

    Hebu fanya tathmini yako uone kama atatoboa . Huyu anaishi kwenye Nchi ambayo DED tu anatumia V8 , huku Mawaziri magari yao yakiwa ya bei mbaya hadi kuzidi Tsh mil 600
Back
Top Bottom