Search results

  1. bryan2

    Evolution Of Khalid Aucho kutoka Gor mahia mpaka Yanga.

    THIS MAN KAHALID AUCHO!! Today, I choose to remember and celebrate Khalid Aucho. There have been midfielders in the KPL and then there was one Khalid Aucho alias "Anti Da Lost One" He was more than a midfielder. One of the players who gave their all to Gor Mahia – a player who took Gor as ‘his...
  2. bryan2

    Kazumari aliyekuwa wa kwanza kusema Dickson Job ni beki mfupi kaja na propaganda za nidhamu

    Huyu jamaa anayejiita Kazumari ni nani katika mpira wetu? Mbona naona Tff wanamhusudu sana. Upande wangu namwona ni kati ya watu wanaoharibu mpira wa nchi hii mosi jamaa ameshindwa kuficha chuki zake dhidi ya Timu ya Yanga, Uongozi wake kaenda mbali mpaka kwa wachezaji wa Yanga. Nafikiri kuna...
  3. bryan2

    Kauli mbiu iwe " wote mpaka fainali inawezekana"

    Ndio timu zetu mbili Yanga na Simba zinakibarua kigumu kwani zimepangwa na vigogo wa Soka la Afrika MasandawanaMamelod na Al Ahly mtawalia. Ndio wakati wa Afrika na Dunia kuitambua Tanzania, ndio wakati wa mawakala kuja Tanzania na kusaka vipaji, ni wakati wa kuweka rekodi za Kidunia. Kwenye...
  4. bryan2

    Simba kashinda Jana hakuna Kelele kwa GSm anadhamini timu 16

    Baada ya ushindi wa goli 3 Jana wa Simba dhidi ya wachovu Singida fountain gate zile kelele kwamba Gsm anasponsor timu zote za ligi kuu zimekwisha/zimepungua. Kama watoto wa Tff Jana wangefungwa au kutoa droo pasingekalika humu na kwenye baadhi ya vipindi vya michezo wachambuzi feki wangepata...
  5. bryan2

    Wadau wa Soka naombeni tofauti

    Hope humu kuna wajuzi wa hizi mambo naombeni tofauti ya hizi kampuni mbili za kubeti moja akiwa sponsor wa Simba na mwingine Kmc.
  6. bryan2

    Kila timu inayofunguka dhidi ya Yanga ni goli 3 na kuendelea

    Walianza KMC, wakaja JKT, wakaja Simba baba lao leo limewakuta Ihefu achana na wale waarabu wa Algeria. Hizo timu zote tajwa walizikosea Yanga heshima wakataka kupishana na Yanga kilichowakuta imebaki historia. Ziko timu nyingi zimecheza kwa Nidhamu kubwa sana na Yanga rejea Namungo mchezo wa...
  7. bryan2

    Kinachowauma Simba ni Timu nyingi kutohongeka kwa sasa

    Simba ni kama sikio la kufa tu hata uliwekee Boric Acid ear drops hamna kitu.Simba wamebaki kumpigia promo GSm na kuacha kumpigia Promo boss aliyenunua timu yao mo. Kwanini Simba wanalia sana na ishu za Udhamini Jibu ni jepesi tu baada ya ligi yetu kukua na wenye pesa zao kuamua kumwaga mpunga...
  8. bryan2

    Almanusura Prison wawalipie Jwaneng Galaxy deni lao

    Ft. Tz Prison 2 Simba 1(mwenyeji) Ni kama Prison walisikia kilio cha Kocha wa Galaxy Morena Ramoreboli dhidi ya michezo michafu waliyofanyiwa na Simba anzia ulonzi mpaka uwizi wa vifaa vyao. Baada ya dakika 90 pale Morogoro hatimaye Prison wameifunga timu bora ya Caf wakiwa na mchezaji wao...
  9. bryan2

    Kumbuka Yanga haikuomba huruma za TFF kuhairishwa michezo yake

    Yanga kacheza na KMc Morogoro kapata ushindi karudi Dar kacheza na Polisi Tz kapata ushindi then leo kamnyuka Mwarabu goli 4. Tofauti na Simba, Yanga hawakwenda kulia pale Tff kuomba michezo yao ipigwe kalenda la hasha wao walicheza michezo yao yote kama ratiba ilivyotaka. Simba wao walikuja...
  10. bryan2

    Kombe la Shirikisho walisema timu ni chovu vipi nako huku?

    Watanzania hasa mashabiki wa mpira tunajificha kwenye kivuli cha utani wa jadi ila uhalisia watanzania tuna roho mbaya, wivu, kijicho, mtimanyongo, unafiki, majungu...nk Full time Yanga 4 Waalgeria 0 Nakumbuka Yanga inacheza fainali za kombe la shirikisho na kupoteza kwa faida ya magoli ya...
  11. bryan2

    Iheshimu serikali yoyote ile nayo ikuheshimu

    Kati ya kauli tata za mkufunzi wangu ni hii Serikali yoyote ile duniani ni mafia ni jinsi tu wewe utakavyojiweka. Ukiamua kuiona serikali kwa upole wake utaiona, ukiamua kuiona serikali kwa Umafia wake utaiona. Serikali ipo kila sehemu hata kule kijijini ndani kabisa kwa bibi na babu zetu ipo...
  12. bryan2

    John Nobble wa Namungo, Yanga na Azam ni tofauti na yule wa Simba

    John Nobble golikipa mnaijeria aliyefunga safari kutoka kilometa nyingi jimbo la Abba yalipo makao makuu ya timu ya Enyimba mpaka kwa warina asali wa Tabora united kaniachia maswali mengi sana. Baada ya ile gemu ya Simba nikajipa muda wa kumsoma Nobble kwa gemu za mbeleni, ukiacha ile gemu ya...
  13. bryan2

    Je, TFF mnazingatia matumizi ya dawa haramu Michezoni?

    Dawa haramu. hizi ni dawa zilizopigwa marufuku kutumika na wachezaji either wa Mpira wa miguu, riadha au hata masumbwi kwani dawa hizi zinavichocheo ambavyo huweza kumfanya mchezaji kucheza bila kuchoka kwa muda mrefu either kwa kumpa nguvu, kusisimua misuli na pia kupunguza utendaji kazi wa...
  14. bryan2

    Baada ya hii documentary nimevutiwa kwenda kutalii Afghanistan

    Ni documentary moja ya RAIA Wa Kiingereza anafanya utalii kwa nchi zenye risk kubwa, nazipenda hizi documentary kwani zinanisaidia kufahamu wenzetu wanaishi vipi. Baada ya kuangalia mwanzo mpaka mwisho wa safari ya mwamba Afghanistan nami nimewiwa kwenda kutalii kule siku moja, kumbuka jamaa...
  15. bryan2

    Je, Mayele anatumika kama Agent Provocateur?

    Mkufunzi wangu wa shule flani alipata kunijuza maana ya Agent Provocateur kwa kifupi hawa ni watu wanaoweza kuwa nje au ndani ya mfumo na wanatumika kuzima hot issues flani ambazo sizo rafiki kwa wakati huo kwa lengo la kufanya watu kutoelewana. Kwanini Mayele Ukiangalia mwezi huu Yanga...
  16. bryan2

    Msemaji Simba kuna Majini wazuri na wabaya Simba mnatumia yapi?

    Visanga vya mpira wa Tanzania havitakaa viishe, nimemsikia msemaji wa Simba akisema kuna majini wazuri na wabaya kwa Imani yangu ni Big No majini ni roho chafu zilizoasi mbinguni na kutupwa Motoni. Swali la kujiuliza je msemaji wa Simba anatumia majini wazuri, kama kama msemaji anaishi kwa...
  17. bryan2

    Prison walitaka kuwaiga Simba wakashtuka mapema

    Haijawahi kutokea gemu rahisi kati ya Yanga na Prison ni either gemu itaenda droo, Prison Kufungwa au mtu kupata kadi nyekundu ndio imeisha hivo na leo muda mfupi uliopita pale Sokoine. PRISON 1 YANGA 2 Asikwambie mtu haikua gemu rahisi hata kidogo kama nlivyotangulia kusema kwa Sasa Tanzania...
  18. bryan2

    Ongezeko la wagonjwa wenye Vimelea vya Helicobacter Pylori nini Shida

    Helicobacter Pylori ni bacteria ambao wanasadikika kusababisha vidonda vya tumbo na pia Kansa ya utumbo/tumbo, njia zake za kuambukizwa ni kupitia matumizi ya vitu vyenye vya H-Pylori kama vile maji au vyakula na pia kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mtu mwingine. Helicobacter Pylori ni kati ya...
  19. bryan2

    Simba wanalia na refa Ramadhani Kayoko wajiulize ni lini mara ya mwisho wameifunga Azam.

    Shida Simba wakikosa matokeo wanayoyataka wao ni lazima watafute mtu wa kumfunga kengele, badala ya kula kile kichapo cha goli tano toka kwa Yanga mpaka leo naona bado dishi linasearch. Kile kipigo cha goli tano alifungwa kengele Tinyo boy mwisho wa siku wakaishia kumla kichwa hilo halitoshi...
  20. bryan2

    Pamoja na TFF kuwapa miezi mitatu ya kujiandaa bado wamedroo na Azam

    Ft Simba(mwenyeji) 1 Azam(Mgeni) 1. Ndio matokeo ya mwisho pale dimba la CCM Kirumba Mwanza.Hatimaye baada ya danadana za muda mrefu leo kiporo kimeliwa pale Mwanza huku kukiwa hakuna wa kumtambia mwenzake. Huu ni mchezo ambao uligubikwa na makandokando mengi tu kutoka kwa TFF kwa lengo la...
Back
Top Bottom