Prison walitaka kuwaiga Simba wakashtuka mapema

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
Haijawahi kutokea gemu rahisi kati ya Yanga na Prison ni either gemu itaenda droo, Prison Kufungwa au mtu kupata kadi nyekundu ndio imeisha hivo na leo muda mfupi uliopita pale Sokoine.
PRISON 1 YANGA 2

Asikwambie mtu haikua gemu rahisi hata kidogo kama nlivyotangulia kusema kwa Sasa Tanzania Yanga ndio timu inayoongozwa kukamiwa na timu pinzani vimelia vibuyu sana leo.

Kwanini kichwa cha habari Prison walitaka kuwaiga Simba ndio ni rahisi tu Prison mwanzoni walijiona wamekua wakubwa wakataka kupishana na Yanga I mean walicheza kwa kufunguka baada ya kula goli la kwanza la mapema wakarudi kwenye nidhamu ya kukabia nyuma.

Hii iliwakuta Simba tarehe 5 nao walitaka kupishana na Yanga kilichowakuta imebaki historia mpaka kwenye Mabango Simba walikula magoli 5 kwa 1 kwa jeuri yao ya kutaka kupishana na Yanga na sio kupaki kontena kama zinavyofanya timu nyingine.

Hili litakua somo kwa Simba msimu mwingine kwamba njia rahisi ya kuwazuia Yanga ni kusimamisha minara ya zege nyuma kama zinavyofanya timu nyingine.

All in all gemu ilikua ngumu ila kiwanja cha Sokoine kimefanya gemu kuwa ngumu zaidi pamoja na uchovu wa wachezaji wa Yanga tukumbuke ni Jana tu wameingia Mbeya nani juzi tu wametoka kucheza na mashujaa.

Happy birthday Young Africans 89yrs.
 
Wanaostahili Kusherehekea Birthday ni WAWILI tu huko..... ! Hili naomba Lieleweke mapema.

Tusitafutiane Ubaya, hata Manara hili analielewa.
Kwa hisani ya kauli ya Mwenyekiti Mh Sana Rage....alisemaje pale ???
 
Haijawahi kutokea gemu rahisi kati ya Yanga na Prison ni either gemu itaenda droo, Prison Kufungwa au mtu kupata kadi nyekundu ndio imeisha hivo na leo muda mfupi uliopita pale Sokoine.
PRISON 1 YANGA 2

Asikwambie mtu haikua gemu rahisi hata kidogo kama nlivyotangulia kusema kwa Sasa Tanzania Yanga ndio timu inayoongozwa kukamiwa na timu pinzani vimelia vibuyu sana leo.

Kwanini kichwa cha habari Prison walitaka kuwaiga Simba ndio ni rahisi tu Prison mwanzoni walijiona wamekua wakubwa wakataka kupishana na Yanga I mean walicheza kwa kufunguka baada ya kula goli la kwanza la mapema wakarudi kwenye nidhamu ya kukabia nyuma.

Hii iliwakuta Simba tarehe 5 nao walitaka kupishana na Yanga kilichowakuta imebaki historia mpaka kwenye Mabango Simba walikula magoli 5 kwa 1 kwa jeuri yao ya kutaka kupishana na Yanga na sio kupaki kontena kama zinavyofanya timu nyingine.

Hili litakua somo kwa Simba msimu mwingine kwamba njia rahisi ya kuwazuia Yanga ni kusimamisha minara ya zege nyuma kama zinavyofanya timu nyingine.

All in all gemu ilikua ngumu ila kiwanja cha Sokoine kimefanya gemu kuwa ngumu zaidi pamoja na uchovu wa wachezaji wa Yanga tukumbuke ni Jana tu wameingia Mbeya nani juzi tu wametoka kucheza na mashujaa.

Happy birthday Young Africans 89yrs.
Hakika aliyewaita utopolo alitafakari mbali sana
 
Punguza utoto.
 
Aah refa jana kawaumiza prison tu,ngoma ilishakuwa ngumu ile,na yule mwamnyeto yule we ngoja iko siku atawacost yule,klabu bingwa inakuja soon
 
Unamaanisha kwa bongo Yanga imeshindikana tujaribu klabu binhwa au nimeenda tofauti
 
Back
Top Bottom